DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
Kwa hiyo kumbe maneno bandari imeuzwa au bandari zimeuzwa ni uongo na uzandiki?
 
Maaskofu walichemka sana kuusoma ule waraka. Halafu ni majina 32 wakaorodheshwa kumbe wanaingizwa mkenge bila ya kufahamu.

Kama DPW amenunua hiyo bandari imeweza vipi kutangaza tender ya kuendesha magati yake?.

Hatujui mambo mengi na hatutaki kukubali kwamba hatujui.
Hata wewe hujui unachokiandika.
IMG-20230831-WA0012.jpg
 
Kaka haya masuala ya mikataba sio kila mtu anayeweza kuyafahamu, hili ni tatizo la watanzania pia, kuvamia fani za watu kisha kutaka wasikilizwe akiwemo kenge anayeitwa Etwege.

IGA ni kifupisho tu cha mikataba mingi ya kibiashara, hayo maslahi yatakuwepo kwenye mikataba husika ambayo itakuwa ni mirefu kuliko huo uliopitishwa bungeni.
Hata TLS Nao waliingia Chaka? Acha kujifanya mwerevu wakati huna hoja za kueleweka..

DPW iliingizwa ki magumadLshi full STOP
 
Wanaweza kuja kwa jina lingine. Kikubwa utaratibu ufuatwe, marekebisho ya makubaliano ama mkataba yafanyike!!!!
Msishangilie sasa...

Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World

Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?

Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!

Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
 
Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Aisee sikutegemea kuiona siku hii, Etwege ampongeze Mdude? Safi sana, kwenye uzalendo huwa tunaweka tofauti zetu za kisiasa pembeni.
 
Wewe jamaa una akili nzuri sana
Msishangilie sasa...

Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World

Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?

Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!

Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
 
Chief negotiators wa masuala ya bandari ndugu .. Lord denning na bi Faizafoxy wanakuja na ufafanuzi!!
Acheni kukurupuka. DP World anaanza kazi siku si nyingi.

Kwa hiyo kumbe maneno yenu ya bandari zote zimeuzwa yalikuwa ni uzandiki wenu tu?
 
Hata TLS Nao waliingia Chaka? Acha kujifanya mwerevu wakati huna hoja za kueleweka..

DPW iliingizwa ki magumadLshi full STOP
Wale waliosema DP World anachukua kila kitu sasa wanaumbuka, baada ya TPA kuweka wazi kuwa kuna magati yanayohitaji muendeshaji.

TLS waliingia chaka pia kwa kuitafsiri IGA kama ndio kila kitu bila ya kujua kwamba mikataba ya kibiashara ndio itakayoonyesha ukubwa wa uwekezaji wao hao waarabu.
 
we' kweli chizi fresh!

unajua sheria kushinda Emaratus prof.Shivji,Tundu Lissu,Kibatala,Think Tank ya Taifa(TEC)?
Usitishwe na hayo majina makubwa, yanaweza kutumika tu kama mimi na wewe tunavyoweza kutumika.

Ujumbe ni kwa wale waliotisha watu wakisema kwamba mwarabu anachukua bandari zote za TZ na hakuna muendeshaji mwingine anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote!. Hao ndio wa kuonewa huruma kwani TPA imetangaza magati manne yanayohitaji kampuni yenye umahiri ili iyaendeshe.

Pia kuna bandari ya Bagamoyo na yenyewe inakwenda kutangaziwa tender ya uendeshaji muda sio mrefu ujao, pamoja na bandari za Mbamba Bay na ile ya Kigoma.
 
View attachment 2734325

Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Dalili zinaonyesha wauza bandari wamebwaga manyanga. Wapambanaji tusishushe pumzi serikali hii inaongozwa na mwenye tamaa ya mali na mpigaji mkubwa. Wote mumeona ule ukwasi wa kiongozi wa afrika namba saba kwa utajiri. Miaka mitatu tu😂, je mkimpa tena miaka mitano? Si tutauzwa nchi nzima 😆🤔
 
wewe mjinga TEC inataarifa nyeti za nchi hii huwa hawakurupuki kama mashehe wako ubwabwa.Ndo maana imetoa taarifa ikapiga kimya.Sasa jukumu lilobaki ni la samia kuonyesha ubavu.

Samia hawezi kuuza bandari za nchi yetu kwa wapwa wake Dubai tukae kimya.NEVER!
Wangekuwa na taarifa za kina wasingekuja na ule waraka, kwani kilichofanywa na serikali ni tofauti kabisa na kilichoandikwa kwenye waraka.

Mimi ni mkatoliki pengine kuliko wewe, lakini maaskofu wetu 32 walichemka kukubali kuingizwa chaka. DP World waliyedhani anapewa bandari zote anakabidhiwa magati machache tu ya hapo TPA Dar, na magati mengine ndio hayo yanayotafutiwa mwendeshaji.

Ni aibu sana kwa taasisi yenye kuheshimika kama TEC kufanya kazi kwa kutegemea maneno ya mitandaoni ambayo hayana uhakika wa chanzo chake.
 
Dalili zinaonyesha wauza bandari wamebwaga manyanga. Wapambanaji tusishushe pumzi serikali hii inaongozwa na mwenye tamaa ya mali na mpigaji mkubwa. Wote mumeona ule ukwasi wa kiongozi wa afrika namba saba kwa utajiri. Miaka mitatu tu😂, je mkimpa tena miaka mitano? Si tutauzwa nchi nzima 😆🤔
Wazawa wenye uwezo wa kuendesha bandari wameitwa hapo TPA wafanye kazi ya kuinua uchumi wa nchi na sio kuishia kupiga domo mitandaoni.

Hiyo barua ya TPA ni dongo zito sana kwa kina Tibaijuka na wazalendo wengine wajuaji, kwamba kama uwezo wanao waende wakaendeshe bandari kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom