Msishangilie sasa...
Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World
Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?
Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!
Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!