DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Usijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.
Hujaeleweka
 
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!
Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
Wamechelewa, maana tarehe ya invitation na ya award zipo kinyume. Tayari watu wametunza kumbukumbu hii
 
Huko namba 8 mpaka 11 baada ya TICTS Kuondoka walipewa kampuni ya wahindi kuendesha kwa muda bila Tenda wanaitwa Addan Port Services. Walisema itatangazwa tenda rasmi kwa ajili ya muendeshaji mwingine
 
Mbona kama una muhali!!

Kwakuwa TICS wamekuwa wakifanya vizuri, wanaweza omba na kuendelea na KAZI ikiwa watashinda.
 
Huna ujualo wewe.
Hiyo inatangazwa kutimiza matakwa ya sheria tu, lkn mwisho wa siku Dp World ndo atatangazwa mshindi
 
Mambo yanaenda kinyumenyume. Tulianza kwa kusaini mkataba kati yetu na mkandarasi, tukaja kuomba ridhaa bungeni (ili mkataba baina yetu na mkandarasi usainiwe), tumemaliza na kutangaza tenda (ili tumpate mkandarasi)
 
Povu la kiustadh hili. Na ninyi andaeni waraka wa kumpinga mkandarasi atakayeshinda tenda, msisubiri TEC watoe waraka na nyie mkurupuke kuwapinga
 
Huna ujualo wewe.
Hiyo inatangazwa kutimiza matakwa ya sheria tu, lkn mwisho wa siku Dp World ndo atatangazwa mshindi
Bado itakuwa ni ushindi, maana document ya tenda itakuja na mkataba mzuri, sio ule alioutengeneza yeye. Kumbuka watu tunapinga nkataba, sio uwekezaji. Akili itawakaa sawa tu
 
Maulid Kitenge mzee wa minyama anasemaje kwenye hili?

Kuna info yeyote amepost inayohusiana na hili swala?
Atakuwa yyko kizimkazi Ana serebuka mziki wa zuchu

Ova
 

Tukisema watz ni wapumbavu kwa kukurupuka mnasema sie ni machawa [emoji28][emoji28]mda hua unasema kweli mdogo mdogo mtajua hao kina slaa ni wahuni
 
Haya sasa nafasi zipo wazi terminal II, muwahi msije baadae kusema tangazo halikutolewa muanze kulaumu DP WORLD.

View attachment 2734429
Kwa wiki mbili utakuwa unapoteza wakati wako. Hamna mahali wametaja tender documents zinapatikana wapi. Na kwa kitu kama hiki walitakiwa waanze kwa kurabisha expressions of interest ili wachuje wale wasio na uweza. Hii ina walakin.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…