Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
HujaelewekaUsijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujaelewekaUsijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.
Mwambie Pd. Kitima na TEC yake waombeView attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Si mlisema amkuona tender? Sasa ndo inatoka hili DP waiombe wapate😂😂View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Wamechelewa, maana tarehe ya invitation na ya award zipo kinyume. Tayari watu wametunza kumbukumbu hiiHii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!
Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
sana yaani !!Kwa hiyo hapo wewe umefurahi
CCM ikiendelea kusikiliza maoni ya wananchi haiwezi Kufa hata siku moja mkuuCCM yangu pendwa inajifia taratibu
Mbona kama una muhali!!Tunawakumbusha tu TEC ,Profesa Tibaijuka, Kinana , GSM na wengine kuwa TPA wametoa tenda ya kuendesha bandari.
Kufuatia ule waraka wenu mliosa mmetumwa na watanzania sasa hapa ndipo tunataka waje wale wawekezaji wenu mliokuwa mnawasema kwenye ule waraka wenu wa ki intarahamwe kuwa kuwa watanzania wanaweza kufanya hii kazi.
Hatutaki mje kuanza kuwalaumu waarabu kwa haya mambo maana mmesema kuna watanzania wana uwezo,haya tangazo la kuitisha tenda hili hapa mkalisome makanisani kama mlivyousoma waraka ule ili wale mnaosema wana uwezo waje kuomba na wapewe kazi hii.
Huna ujualo wewe.Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Povu la kiustadh hili. Na ninyi andaeni waraka wa kumpinga mkandarasi atakayeshinda tenda, msisubiri TEC watoe waraka na nyie mkurupuke kuwapingaTunawakumbusha tu TEC ,Profesa Tibaijuka, Kinana , GSM na wengine kuwa TPA wametoa tenda ya kuendesha bandari.
Kufuatia ule waraka wenu mliosa mmetumwa na watanzania sasa hapa ndipo tunataka waje wale wawekezaji wenu mliokuwa mnawasema kwenye ule waraka wenu wa ki intarahamwe kuwa kuwa watanzania wanaweza kufanya hii kazi.
Hatutaki mje kuanza kuwalaumu waarabu kwa haya mambo maana mmesema kuna watanzania wana uwezo,haya tangazo la kuitisha tenda hili hapa mkalisome makanisani kama mlivyousoma waraka ule ili wale mnaosema wana uwezo waje kuomba na wapewe kazi hii.
Bado itakuwa ni ushindi, maana document ya tenda itakuja na mkataba mzuri, sio ule alioutengeneza yeye. Kumbuka watu tunapinga nkataba, sio uwekezaji. Akili itawakaa sawa tuHuna ujualo wewe.
Hiyo inatangazwa kutimiza matakwa ya sheria tu, lkn mwisho wa siku Dp World ndo atatangazwa mshindi
Atakuwa yyko kizimkazi Ana serebuka mziki wa zuchuMaulid Kitenge mzee wa minyama anasemaje kwenye hili?
Kuna info yeyote amepost inayohusiana na hili swala?
Na hili tangazo la TPA lina maaana gani??Watanzania mna uelewa mdogo sana.
Juzi serikali ilisema inaendelea na taratibu za mkataba
Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Kwa wiki mbili utakuwa unapoteza wakati wako. Hamna mahali wametaja tender documents zinapatikana wapi. Na kwa kitu kama hiki walitakiwa waanze kwa kurabisha expressions of interest ili wachuje wale wasio na uweza. Hii ina walakin.Haya sasa nafasi zipo wazi terminal II, muwahi msije baadae kusema tangazo halikutolewa muanze kulaumu DP WORLD.
View attachment 2734429
Hapa utaritibu umefuatwa?Sisi tulitaka utaratibu ufuatwe hata kama Mwarabu akipewa mradi utaratibu umefuatwa.
Mmmm zuga hiyoo...baadae watapewa DP kelele ziishe...hilo zuga ujinga mara kwenda tuuuuu....View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.