Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Maaskofu wetu wamechemka kuandika waraka na kuusambaza bila ya kujua kipi kinachofuatia katika maamuzi ya serikali.Kwa maelezo haya, nina uhakika haujausoma. Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu hawakuusoma waraka wa TEC, badala yake walisimuliwa misikitini na kwenye vijiwe vingine kuwa Maaskofu wa RC wanakataa uwekezaji
🫣🫣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio Chuki tu, na ujinga mwingi vichwani mwao
Akijulishwa mapema then what?Hivi unajua ile IGA ina kipengele kinachotaka mwarabu awe wa kwanza kujulishwa juu ya fursa mpya za kiuchumi zitakazojitokeza?
Kama unajua, niambie, hiyo bandari ya Bagamoyo, huko Mbamba Bay na nyingine sio fursa mpya za kiuchumi kwa mwarabu?
Halafu nikiwaita hamna akili mnaona nawaonea!.
Hebu kasomeni ule mkataba, wacheni kelele zenu.
Sio mwambukusi ni MWABUKUSI itapendeza ukirekebisha hilo jina....Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Wewe ndio huna akili unayetafsiri kingereza moja kwa moja kwenda kiswahili.Hivi unajua ile IGA ina kipengele kinachotaka mwarabu awe wa kwanza kujulishwa juu ya fursa mpya za kiuchumi zitakazojitokeza?
Kama unajua, niambie, hiyo bandari ya Bagamoyo, huko Mbamba Bay na nyingine sio fursa mpya za kiuchumi kwa mwarabu?
Halafu nikiwaita hamna akili mnaona nawaonea!.
Hebu kasomeni ule mkataba, wacheni kelele zenu.
Hajui anaandika nini. Tatizo la watanzania wengi kudhani wanajua kila kitu kumbe vichwani ni madebe matupu.Akijulishwa mapema then what?
Masilahi ya watanzania hayawezi kufichwa kwenye maneno Shall na will kenge mkubwa wewe.Wewe ndio huna akili unayetafsiri kingereza moja kwa moja kwenda kiswahili.
Kumbuka kwenye mkataba kuna maneno WILL na SHALL, hayo yana maana mbili tofauti kabisa.
Usiusome mkataba ukautafsiri moja kwa moja kwenye kiswahili, usidhani kuwa hao waliosaini mikataba hawana akili na wanawaza kitoto kama wewe na mimi huku mitaani.
IGA ya DPW ni tofauti kabisa na ya huyo mwekezaji mpya anayetafutwa, itakuwa tofauti na ya yule atakayepatikana na kuendesha Mbamba Bay Port.
Pia maslahi ya watanzania yana vifungu vingine 31 vinavyojitegemea, paka shume mkubwa wewe.Masilahi ya watanzania hayawezi kufichwa kwenye maneno Shall na will kenge mkubwa wewe.
Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,Wewe ndio huna akili unayetafsiri kingereza moja kwa moja kwenda kiswahili.
Kumbuka kwenye mkataba kuna maneno WILL na SHALL, hayo yana maana mbili tofauti kabisa.
Usiusome mkataba ukautafsiri moja kwa moja kwenye kiswahili, usidhani kuwa hao waliosaini mikataba hawana akili na wanawaza kitoto kama wewe na mimi huku mitaani.
IGA ya DPW ni tofauti kabisa na ya huyo mwekezaji mpya anayetafutwa, itakuwa tofauti na ya yule atakayepatikana na kuendesha Mbamba Bay Port.
Ulisema bandari imeuzwa wewe Kulwa Jilala. Sasa umegeuza santuri?Masilahi ya watanzania hayawezi kufichwa kwenye maneno Shall na will kenge mkubwa wewe.
Kubishana na wapinga huo uwekezaji ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
Wajuzi wa mikataba walitumia hoja kwamba mwarabu keshanunua bandari yetu yote, hilo tangazo ni la kutafuta muendelezaji atakayesimamia magati namba nane mpaka kumi na moja.Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
genge la matapeli yaleNakazia
Mwambulukusi, mdudu na silaa wako wapi?Sio mwambukusi ni MWABUKUSI itapendeza ukirekebisha hilo jina....
Wasalaam,
Maslahi ya watanzania yanatakiwa yajae kwenye vifungu vyote siyo kimoja cha 31, kenge wewePia maslahi ya watanzania yana vifungu vingine 31 vinavyojitegemea, paka shume mkubwa wewe.
Cc.wote wanao unga mkono uuzwaji wa bandari zetu TANGANYIKA 🤓🤓Mwambulukusi.
Kaka haya masuala ya mikataba sio kila mtu anayeweza kuyafahamu, hili ni tatizo la watanzania pia, kuvamia fani za watu kisha kutaka wasikilizwe akiwemo kenge anayeitwa Etwege.Maslahi ya watanzania yanatakiwa yajae kwenye vifungu vyote siyo kimoja cha 31, kenge wewe
Wako na kina mwambulukusi. Mdudu, silaa na mama Samia Kizimkazi.Cc.wote wanao unga mkono uuzwaji wa bandari zetu TANGANYIKA 🤓🤓