DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Kwa maelezo haya, nina uhakika haujausoma. Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu hawakuusoma waraka wa TEC, badala yake walisimuliwa misikitini na kwenye vijiwe vingine kuwa Maaskofu wa RC wanakataa uwekezaji
Maaskofu wetu wamechemka kuandika waraka na kuusambaza bila ya kujua kipi kinachofuatia katika maamuzi ya serikali.

Hakuna muendelezaji wa bandari mmoja mwenye jeuri ya kuinunua kwa ujumla wake, hao ni wapangishaji tu wanaokuwepo leo na kesho hawapo.

Hilo tangazo litawekwa tena mtandaoni wakati wa kutafuta waendelezaji wa bandari za Mbamba Bay, Ziwa Tanganyika na Bagamoyo.

Masuala ya mikataba ni elimu pana inayotafutwa vyuoni sio masuala ya kucopy na kupaste tu.
 
Kwani lini na wapi DP World walipewa kuendesha bandari?

DP World hawana mkataba hata mmoja wa kuendesha bandari, msudhani Tanzania hii kila mtu ni mjinga mwenzenu.

Mnajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe.
 
Hivi unajua ile IGA ina kipengele kinachotaka mwarabu awe wa kwanza kujulishwa juu ya fursa mpya za kiuchumi zitakazojitokeza?

Kama unajua, niambie, hiyo bandari ya Bagamoyo, huko Mbamba Bay na nyingine sio fursa mpya za kiuchumi kwa mwarabu?

Halafu nikiwaita hamna akili mnaona nawaonea!.

Hebu kasomeni ule mkataba, wacheni kelele zenu.
Akijulishwa mapema then what?
 
Kwani lini na wapi DP World walipewa kuendesha bandari?

DP World hawana mkataba hata mmoja wa kuendesha bandari, msidhani Tanzania hii kila mtu ni mjinga mwenzenu.

Mnajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe.
 
Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.

Je DP world wameachia?

Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.

View attachment 2734362
Sio mwambukusi ni MWABUKUSI itapendeza ukirekebisha hilo jina....

Wasalaam,
 
Hivi unajua ile IGA ina kipengele kinachotaka mwarabu awe wa kwanza kujulishwa juu ya fursa mpya za kiuchumi zitakazojitokeza?

Kama unajua, niambie, hiyo bandari ya Bagamoyo, huko Mbamba Bay na nyingine sio fursa mpya za kiuchumi kwa mwarabu?

Halafu nikiwaita hamna akili mnaona nawaonea!.

Hebu kasomeni ule mkataba, wacheni kelele zenu.
Wewe ndio huna akili unayetafsiri kingereza moja kwa moja kwenda kiswahili.

Kumbuka kwenye mkataba kuna maneno WILL na SHALL, hayo yana maana mbili tofauti kabisa.

Usiusome mkataba ukautafsiri moja kwa moja kwenye kiswahili, usidhani kuwa hao waliosaini mikataba hawana akili na wanawaza kitoto kama wewe na mimi huku mitaani.

IGA ya DPW ni tofauti kabisa na ya huyo mwekezaji mpya anayetafutwa, itakuwa tofauti na ya yule atakayepatikana na kuendesha Mbamba Bay Port.
 
Masilahi ya watanzania hayawezi kufichwa kwenye maneno Shall na will kenge mkubwa wewe.
 
Wewe ndio huna akili unayetafsiri kingereza moja kwa moja kwenda kiswahili.

Kumbuka kwenye mkataba kuna maneno WILL na SHALL, hayo yana maana mbili tofauti kabisa.

Usiusome mkataba ukautafsiri moja kwa moja kwenye kiswahili, usidhani kuwa hao waliosaini mikataba hawana akili na wanawaza kitoto kama wewe na mimi huku mitaani.

IGA ya DPW ni tofauti kabisa na ya huyo mwekezaji mpya anayetafutwa, itakuwa tofauti na ya yule atakayepatikana na kuendesha Mbamba Bay Port.
Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
 
Kubishana na wapinga huo uwekezaji ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Wao wameshaaminishana DPW inapewa bandari zote.

Ndio uelewe asilimia kubwa hata hawajui wanapinga nini zaidi ya kuambiwa na watu IGA ni mbovu na wao wanarudia tu.

Na hata hizo gati number 0 to 7 DPW ajapewa rasmi kuendesha kupitia IGA wanaweza achiwa zote au baadhi tu na kubakia kwenye managerial posts tu; depending na wanawekeza kitu gani.

Watanzania ni watu ambao wakiamua kuamini punda ndio pundamilia hata uwaeleze mmoja ana rangi nyeusi na nyeupe; wao hawataki kuelewa.

Ni muhimu kwa nchi kwenye mambo ya msingi kutoangaika na hawa watu na kufanya tu kazi wasubiri matokeo.
 
Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
Wajuzi wa mikataba walitumia hoja kwamba mwarabu keshanunua bandari yetu yote, hilo tangazo ni la kutafuta muendelezaji atakayesimamia magati namba nane mpaka kumi na moja.

Uhusiano wa DP World na Mada ya leo ndio upo hapo, kwamba kama mwarabu kakabidhiwa bandari nzima huyo boss wa TPA asingekuwa na mamlaka ya kutangaza hiyo tender ya kuendeleza hayo magati.
 
Maslahi ya watanzania yanatakiwa yajae kwenye vifungu vyote siyo kimoja cha 31, kenge wewe
Kaka haya masuala ya mikataba sio kila mtu anayeweza kuyafahamu, hili ni tatizo la watanzania pia, kuvamia fani za watu kisha kutaka wasikilizwe akiwemo kenge anayeitwa Etwege.

IGA ni kifupisho tu cha mikataba mingi ya kibiashara, hayo maslahi yatakuwepo kwenye mikataba husika ambayo itakuwa ni mirefu kuliko huo uliopitishwa bungeni.
 
Back
Top Bottom