Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Maaskofu wetu wamechemka kuandika waraka na kuusambaza bila ya kujua kipi kinachofuatia katika maamuzi ya serikali.Kwa maelezo haya, nina uhakika haujausoma. Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu hawakuusoma waraka wa TEC, badala yake walisimuliwa misikitini na kwenye vijiwe vingine kuwa Maaskofu wa RC wanakataa uwekezaji
Hakuna muendelezaji wa bandari mmoja mwenye jeuri ya kuinunua kwa ujumla wake, hao ni wapangishaji tu wanaokuwepo leo na kesho hawapo.
Hilo tangazo litawekwa tena mtandaoni wakati wa kutafuta waendelezaji wa bandari za Mbamba Bay, Ziwa Tanganyika na Bagamoyo.
Masuala ya mikataba ni elimu pana inayotafutwa vyuoni sio masuala ya kucopy na kupaste tu.