Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Tumetia sana chumvi huu mkataba wa serikali na DP World. Upotoshaji ni mwingi sana lakini tatizo haswa ni elimu zetu za masuala ya mikataba kuwa duni.Terms ziko wazi nenda kasome ! DPW wanajulishwa na tenda inatangazwa na wao ndio wanahamua nani awe mwekezaji na kwa aina hii ya tenda ni wazi kuwa DPW wanaweza kushinda kupitia wao direct au kampuni yao ili kuendelea na kiini macho ..kama umesoma IGA uwezi shangaa TPA kutangaza tenda lakini kwa ile IGA hii ni kiini macho 😎😎😎😎
IGA ya DPW inajitegemea haihusiani na IGA itakayokuwa mpya kati ya muendeshaji mpya ya magati namba 8-11. Haitahusiana na muendeshaji wa bandari ya Mbamba Bay kule Ziwa Nyasa na pia itakuwa tofauti na kule Ziwa Tanganyika.
Hili suala la DP World limetuumbua uwezo wetu wa elimu kitaifa, kuanzia maprofesa kina Shivji na Lipumba mpaka wanafunzi wa vyuo vikuu mwaka wa kwanza.