DP World Washusha Meli yenye Kontena 4,000 Dar Port. Meneja TPA asema ni matokeo ya uwekezaji, adai huo ni Mwanzo tu

DP World Washusha Meli yenye Kontena 4,000 Dar Port. Meneja TPA asema ni matokeo ya uwekezaji, adai huo ni Mwanzo tu

Ndio Mwanzo,magari mapya 5 ya ajengwa yenye kina kirefu zaidi Hadi tufikie level hizo.

Safari ni hatua
Gen Z wanazidi kumunfollow Ruto kutoka 3.5 million sasa ni 750 tu 😂😂😂

Siasa Siyo za kuziamini Sana hasa unapoandamwa na VITOTO vidogo vyenye degree mbalimbali

Hapa Bongo Wanasiasa wanaongoza mizoga kwakweli 😂😂
 
Wabongo, kwa hiyo Dar port inashusha bidhaa kwa ajili ya Tanzania tu na je, hapo kabla ya DP World kuingia, tushawahi kupata hiyo Balance of trade

Nadhani swali sahihi sio Import vs Exports Ila je, management ndio sababu ya kupokea meli kubwa au kuongezeka kwa capacity ya "bandari" Mfano kina chake katika kuhudumia meli kubwa

Na je, kazi ya magufuli ya upanuzi wa bandari setu imeleta impact gani au hii tunaoiona yawezekana ni impact yake kuliko kuingia kwa Dp World?..
 
Gen Z wanazidi kumunfollow Ruto kutoka 3.5 million sasa ni 750 tu 😂😂😂

Siasa Siyo za kuziamini Sana hasa unapoandamwa na VITOTO vidogo vyenye degree mbalimbali

Hapa Bongo Wanasiasa wanaongoza mizoga kwakweli 😂😂
Ndio itafanya Ruto asipokee salary au asiwe Rais? Acheni ujinga
 
Tunafurahia meli kutinga bandarini? Sawa hongera kwa mamlaka za serikali kuongeza kina cha bahari na gati

lakini je tumejiuliza ni kiasi gani cha mizigo itashushwa? Na je mizigo hy ya burundi, drc, rwanda au tz?
na je kupitia meli hy tutasafirisha nini kwenda kuuza nje ya nchi

bado sijaona umuhimu wa hao DB

Unaweza kukuta hy meli imetia nanga mzizima kwa dharula tu na sio lengo lao
 
Back
Top Bottom