Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hajui hilo huyo mshambaZimewahi kuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui hilo huyo mshambaZimewahi kuja
Gen Z wanazidi kumunfollow Ruto kutoka 3.5 million sasa ni 750 tu 😂😂😂Ndio Mwanzo,magari mapya 5 ya ajengwa yenye kina kirefu zaidi Hadi tufikie level hizo.
Safari ni hatua
ChoiceVariable na Lucas Kwao Mbeya wamepitwa ujanja hadi na Mwijaku wa Burundi 😃😃🔥Hajui hilo huyo mshamba
Umemkumbuka mwijaku wa malawi kwenye ule uzi😂😂😂😂ChoiceVariable na Lucas Kwao Mbeya wamepitwa ujanja hadi na Mwijaku wa Burundi 😃😃🔥
Umezaliwa lini?Ehhhhh!!!! Sijawahi kusikia tangu nizaliwe, haya ni maajabu
Hiyo simu unayotumia hapo na yenyewe ni import au imetengenezewa Ifakara?hizo ni imports, unafurahia imports? angalau ingeondoka bidhaa for exports hapo ningeelewa lkn unafurahi imports???
Kwani hawapati huo unafuu?Watanzania walio wengi kwa sasa wanatamani kupata unafuu wa maisha. Na siyo hizi habari za meli kubwa, na bla bla nyingine.
Kazi kubwa ipi hiyo?Ila CHAWA Wana Kazi kubwa Sana......
Ndio itafanya Ruto asipokee salary au asiwe Rais? Acheni ujingaGen Z wanazidi kumunfollow Ruto kutoka 3.5 million sasa ni 750 tu 😂😂😂
Siasa Siyo za kuziamini Sana hasa unapoandamwa na VITOTO vidogo vyenye degree mbalimbali
Hapa Bongo Wanasiasa wanaongoza mizoga kwakweli 😂😂
Habari mbaya hii kwa dini waua albi
Unafuu uko kwa watu wachache tu wenye mirija kama wewe.Kwani hawapati huo unafuu?
Ni mabadiliko gani waliyafanya kuwezesha kuleta meli kubwa ambayo sisi wenyewe tulishindwa kuyafanya?Haya Sasa DP World wameanza kufanya Yao Dar Port Kwa kuleta meli kubwa zaidi ,urefu zaidi ya mita 300👇👇