DP World Washusha Meli yenye Kontena 4,000 Dar Port. Meneja TPA asema ni matokeo ya uwekezaji, adai huo ni Mwanzo tu

Mleta mada hacha kuleta sifa ili tusifie utuone chawa au wajinga

leta taarifa kamili hy meli inaitwaje? Inamilikiwa na nchi gani au kampuni gani?

imetoka wapi na inaenda wapi baada ya kutoka tz

tusije kufurahia kumbe imeleta silaha na vifaru kwaajiri ya M23 Alafu 2027 waje wavamie tz kwa kutumia hzo silaha
 
Gallus amesema bandari ya Dar es Salaam imefanya maboresho katika kina cha maji na ununuzi wa vitendea kazi vya kisasa.
Haya wameyafanya hao DP World unaowasifia kabla hata hawajaanza kazi, au kwa kazi hiyo moja ya kuleta hiyo meli?

Una haraka ya nini, tupe mrejesho wa utendaji kazi wao baada ya mwaka mmoja, siyo sasa.
Wananchi wetu wenyewe walikwisha onyesha ufanisi, hata kabla ya hao DPWorld kuja hapo.
 
Gen Z wanazidi kumunfollow Ruto kutoka 3.5 million sasa ni 750 tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siasa Siyo za kuziamini Sana hasa unapoandamwa na VITOTO vidogo vyenye degree mbalimbali

Hapa Bongo Wanasiasa wanaongoza mizoga kwakweli πŸ˜‚πŸ˜‚
Tungeufuta ujeuri wa gen Z, tusingekuwa mizoga! / or!
 
Iweje leo makasha 4000 mseme haijawahi kutokea? Acheni siasa za bei rahisi na ishatia nanga meli mwaka juzi ilikua na makontena 6000, acheni siasa za bei rahisi kwenye bandari mmevuruga tunawakalia kimya mnatuona mafara, mara gawio wakati tpa ishawahi kutoa gawio kubwa miaka mingi ilopita kuliko gawio lenu
 
Hivi we jamaa timamu kweli? au hata ni mtanzania mwenzetu.

Wewe na huyo β€˜bi-tozo’ hata mlisoma makubaliano yaliyopitishwa na bunge na kuelewa ni nini wanatakiwa kufanya ili kuongeza ufanisi bandarini.

Kwenye mkataba ambao bunge liliotumia watu kadhaa kuutetea. Maswala ya phase 1 hao DP hawajaanza hata huo uwekezaji wenyewe kama sehemu maboresho ni vipi unaweza wapa credit ya mafanikio kama umesoma ule mkataba.
 
JPM alivyoweka hela hapo kuongeza kina na no of berth hakukusudia kuwapa Bandari DP world, kina na idadi ya Berth ilikuwa project kipindi cha JPM matokeo yake Bandari kapewa Muarabu.

Hii sio mara ya kwanza Bandari ya Dar es salaam kupokea Meli yenye container 4000.
Maersk Cubango ilishawahi kudock hapo na Container 4000, Waziri wa uchukuzi akiwa Mwakyembe.

Karne ya 21 Taifa lenye watu zaidi ya 60mil na kupata Uhuru 1961 linapiga kelele eti kupokea Meli ya container 4000, hahahaha, tembea uone huo ni uwezo wa Bandari ndogo kabisa Japan
 


Kwa kifupi, or in summery, DP world wanapongezwa kwa kuongeza kina cha maji kwa 2 miters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…