DP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa

DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Tumia fursa hiyo, kaanzishe wewe bandari kavu, mbona wengi wanazo Dar?

Tena vigezo vyake ni kawaida tu.
 
Nisomee dua nipate mtaji tilioni 3 tu zinatosha
Wala uhitaji mradi mkubwa, ukitumia akili, mtaji ni wewe mwenyewe. Usijifunge funge na kujidanganya kwa usiyoyaelewa.

Kuanzisha bonded warehouse ni kama kusukuma mlevi.

Ingia tovuti ya TRA ujisomee Masharti yake.
 
DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Wakipaweza tunduma, watakua wameepusha usumbufu wanaopata madereva kwa asilimia zaidi ya 70! Maana huko kwa sasa nasikia kuna foleni haina mwenyewe na ishu ni scanner
 
Pote patawezekana hawawezi kukubali wateja wao wawe na usumbufu wa kijinga.

Huo ucheleweshaji wa Tunduma ni ujinga wetu Watanzania. Kutafuta kuhongwa kijinga.
 
Pote pstawezekana hawawezi kukubali wateja wso wawe na usumbufu wa kijinga.

Huo uchekeweshaji wa Tunduma ni ujinga wetu Watanzania. Kutafuta kuhongwa kijinga.
DP World nahisi wataitumiaTAZARA, container zao zote kwenye treni. Kwisha habari.

Maana sasa hivi watu wanaikodisha reli kama kawa.
 
Pote pstawezekana hawawezi kukubali wateja wso wawe na usumbufu wa kijinga.

Huo uchekeweshaji wa Tunduma ni ujinga wetu Watanzania. Kutafuta kuhongwa kijinga.
Na ndicho kinacho endelea pale! Ila huwezi kuta dereva ana lalamika kama anaenda Rwanda. Rwanda pale ni masaa kadhaa gari imevuka unaenda kutulia DEREVA KACHOKA ila tunduma dah! Hapajawahi kurekebika kabisa
 
Umekula ngapi zao
Naona uko moto kweli kuleta habari zao
 
DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Na kuua ile dry port ilikuwa inataka kufunguliwa Zambia karibu na Mazabuka kwa ushirika wa Zambia, Malawi na Mozambique.
 
Back
Top Bottom