DP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa

Na kuua ile dry port ilikuwa inataka kufunguliwa Zambia karibu na Mazabuka kwa ushirika wa Zambia, Malawi na Mozambique.
Si ndo hapo tunachelewa.
Isaka ilitakiwa free port kubwa sana,kigoma, tunduma nk
 
Wakipaweza tunduma, watakua wameepusha usumbufu wanaopata madereva kwa asilimia zaidi ya 70! Maana huko kwa sasa nasikia kuna foleni haina mwenyewe na ishu ni scanner
Wakipewa wataondoa Ile foleni sababu ya utindio wetu wa ubongo.boda kubwa unakuawaje na njia moja utadhani ya mnazi mmoja
 
Kipekee, korido mpya za biashara za kidijitali zilizoundwa na DUBUY.com zitasaidiwa na korido halisi ambazo DP World imejenga katika bara zima la Afrika, ikiwa ni pamoja na bandari, vituo na shughuli za usafirishaji.
Unauzungumziaje mkataba wa bandari shosti
 
Niliouona ni mkataba wa mahusiano baina ya nchi na nchi, bado sijauona mkataba wa kuendesha bandari.

Niliouona naona ni wa makubaliano mazuri tunya mahusiano mema. Kwa kuwa disi tuna bandari na Dubai wana moja kati ya kampuni kubwa ya kuendesha bandari duniani.

Kama tumekubaliana watuendeshee bandari zetu kwa win win situation basi ni jambo jema sana. Mradi mikataba ya uendeshaji tuiandae vizuri, kila muhusika afaidike.

Ni biashara kubwa sana.
 
DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Tayari wamewekeza Kigali na mizigo itasambazwa huko
Na hii e-commerce itaanza rasmi mwakani

Sisi kama yaani kama tutapata vibali vya kusafirisha matunda na mazao yetu kwa wingi labda
Maana vibali mpaka upate mmh
 
Kama tumekubaliana watuendeshee bandari zetu kwa win win situation basi ni jambo jema sana. Mradi mikataba ya uendeshaji tuiandae vizuri, kila muhusika afaidike.
Unaonaje kama tungewatumia wao kuwajengea uwezo watu wetu ili nasi mbele ya safari tukaendeshe bandari za wengine
 
USD 720 = TZS 1,728,000/=
Kitu mnachishindwa kuelewa ni falsafa, ya uwepo wa DP World. Hii DUBUY kwa kuwa ni moja ya biashara za DP World, immediately imeanzisha kazi Tanzania hata kabla ya DP kuanza kazi kwa 100%

Sasa fikiri wana biashara ngapi zingine na wana wabia nabwashirika wangapi wengine wataoipaparikia Tanzani?

Wewe jqa kiwango chako unayaona hayo walioweka ni ghali sana, lakini biashara zina targeted market, wapo wanaoona hsyi binkawaida kabisa.

Wakati huo huo wanalisoma soko letu, wakishalijuwa nnauhakika wartatupatia vile ambavyo vinaendana na uchumi wetu.

Hao ni wafsnys biadhara wenye uzoefu kuliko yeyote haoa kwetu.

Hujawahi kuisikia Dubai? Soko kubwa la Kimataifa linalo hudumia kuanzia matajiri wakubwa kabisa dunia mpaka akina sisi?

Pitia hivyo vitu vya DUBUY vitakupa picha ya watu wanaishi vipi, kuna uwezekano na wewe utahamasika ufikie viwango hivyo, uondokane na mitumba.
 
Point kwa sisi watanzania hiyo dubuy iuze vitu kwa Bei ya chini Kama masoko ya China sio Bei za mafisadi ununue kiti Milioni moja huo Ni uwong,tujiulize watanzania wangapi wanamudu hayo mabei?

Usisifie kitu Kama vile umelipwa Senti kadhaa....angalia Kati ya walalahoi na wenye nazo wepi ni wengi?
 
DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Angola wana bandari yao
 
Back
Top Bottom