Tumia fursa hiyo, kaanzishe wewe bandari kavu, mbona wengi wanazo Dar?DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Simu unayotumia - umenunua DuBuy?Si ununuwe ya alibaba.
Siku zote, cheap is expensive.
Mambo mrembo..😊Fursa hizo changamkia, usingoje kujipanga, unapoteza muda.
Unajua maana ya Freeport zone au unaropoka tuTumia fursa hiyo, kaanzishe wewe bandari kavu, mbona wengi wanazo Dar?
Tena vigezo vyake ni kawaida tu.
Nisomee dua nipate mtaji tilioni 3 tu zinatoshaAnzia na bonded warehouse, najuwa Mtanzania huna mtaji mkubwa.
Duh.
Ebu njoo PM basi mrembo, hapa watoto na wanao ichukia dini ya haki wamejaa tele tukose faragha...😊Pouwaaa.
Wala uhitaji mradi mkubwa, ukitumia akili, mtaji ni wewe mwenyewe. Usijifunge funge na kujidanganya kwa usiyoyaelewa.Nisomee dua nipate mtaji tilioni 3 tu zinatosha
Wakipaweza tunduma, watakua wameepusha usumbufu wanaopata madereva kwa asilimia zaidi ya 70! Maana huko kwa sasa nasikia kuna foleni haina mwenyewe na ishu ni scannerDP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
Pote patawezekana hawawezi kukubali wateja wao wawe na usumbufu wa kijinga.Wakipaweza tunduma, watakua wameepusha usumbufu wanaopata madereva kwa asilimia zaidi ya 70! Maana huko kwa sasa nasikia kuna foleni haina mwenyewe na ishu ni scanner
DP World nahisi wataitumiaTAZARA, container zao zote kwenye treni. Kwisha habari.Pote pstawezekana hawawezi kukubali wateja wso wawe na usumbufu wa kijinga.
Huo uchekeweshaji wa Tunduma ni ujinga wetu Watanzania. Kutafuta kuhongwa kijinga.
Na ndicho kinacho endelea pale! Ila huwezi kuta dereva ana lalamika kama anaenda Rwanda. Rwanda pale ni masaa kadhaa gari imevuka unaenda kutulia DEREVA KACHOKA ila tunduma dah! Hapajawahi kurekebika kabisaPote pstawezekana hawawezi kukubali wateja wso wawe na usumbufu wa kijinga.
Huo uchekeweshaji wa Tunduma ni ujinga wetu Watanzania. Kutafuta kuhongwa kijinga.
Na kuua ile dry port ilikuwa inataka kufunguliwa Zambia karibu na Mazabuka kwa ushirika wa Zambia, Malawi na Mozambique.DP world wawahi Wachangamkie waende tunduma border lipo eneo wakajenge Freeport pale kuziwini bandari za Angola,Congo na South Africa ili kuteka soko la Central and Southern Africa,sisi hatuwezi
K tuFursa hizo changamkia, usingoje kujipanga, unapoteza muda.