comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.