Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Zaidi ya uchawi pia ni mchawi, halafu alikuwa anauza unga, akapumzika Magufuli alivyoshika nchi, nadhani kwa utawala huu utarudia mambo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa wewe unajuwa, kwanini tena unauliza swali?Hivi nini tofauti ya MKATABA na MAKUBALIANO?
Je, si kwamba MKATABA ni makubaliano ya pande mbili
na MAKUBALIANO ndiyo yanayoitwa mkataba?
Kama ndiyo hivyo, hawa wanasiasa wanataka ku - achieve nini kujaribu kuwafanya wananchi kama vile wajinga?
Kimsingi kilichopitishwa na bunge juzi ni Makubaliano kwa maana ya MKATABA mama kati ya kampuni ya DP World na Serikali ya Tanzania kuwaruhusu wachukue bandari zetu zote za bahari na maziwa makuu yote ya nchi ya Tanganyika na kuacha bandari za Zanzibar zote..!
Konachopingwa na watu sio makaratasi bali ni "intent" ya mkataba huo na "content" ktk vingi vya vifungu vyake, kwamba MKATABA huu intention yake ni kuiuza Tanganyika Kwa waarabu wa Dubai!!
Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Stay in your idiotry as long as your curse is not inherited by others.Hautaki maendeleo? unataka nyumba alizodhulumu watu Nyerere zibaki mpaka leo na uchakavu wake?
Hilo ni zoezi la Tanzania nzima, kama ulikuwa huelewi, hapo ni mwanzo tu. Tunataka. Kufuta kabisa makovu yote ya dhulma za Nyerere.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Muongo. Wakuja wewe utamjuwaje zungu?Zaidi ya uchawi pia ni mchawi, halafu alikuwa anauza unga, akapumzika Magufuli alivyoshika nchi, nadhani kwa utawala huu utarudia mambo yake
Ana miliki mjengo kule alafuMbona Mbowe ana biashara zake huko Dubai?
Sifahamu ulichokiandika. Unantukana au unansifia?Stay in your idiotry as long as your curse is not inherited by others.
Mbona tayari, zinangojwa barabara mpya tu zipite.adeal kwanza na soko lake jeusi la ilala
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kuwa nayo hapa nchini,Watu na viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila mahali,huja Kama zawadi na huja na Neema mkononi kwa mamilioni ya watu,huja Kama nuru katikati ya Giza,huja Kama Tumaini kwa waliokata Tamaa,huja Kama Faraja kwa wabubijikwao na machozi.Saa hizi ni masaa al kheir.
Tumpe Mama Samia mauwa yake kwa hili la Bandari.
Mama Samia, kwa upendo, heshima na taadhima pokea mauwa yako👇🏾
View attachment 2660603
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Hakuwa muuza unga?Muongo. Wakuja wewe utamjuwaje zungu?
Ma shaa Allah, Zungu ni moja katika watu wenye ubora wa hali ya juu Tanzania hii.
Dah, umenitowa machozi.Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kuwa nayo hapa nchini,Watu na viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila mahali,huja Kama zawadi na huja na Neema mkononi kwa mamilioni ya watu,huja Kama nuru katikati ya Giza,huja Kama Tumaini kwa waliokata Tamaa,huja Kama Faraja kwa wabubijikwao na machozi.
Sasa hivi unauliza, kwanza si ulishaamuwa hiyo? Umesahau mwongo mkubwa wewe.Hakuwa muuza unga?
Huku ni kutapatapa kwingi na kupotosha.Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
DonaKwanini huyu jamaa aliitwa zungu!??
au lilikuwa zungu la mkaa