DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

Naona huelewi maana ya mikataba ya IGA na HGA. Ukiilewa hutouliza tena hilo swali. Isikilize hiyo video clip iliyopo post namba moja, naibu spika anatowa darsa kuhusu ni nini IGA na nini HGA.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
🤣🤣🤣 wanajaribu kupotosha kilichoandikwa.
 
Saa hizi ni masaa al kheir.

Tumpe Mama Samia mauwa yake kwa hili la Bandari.

Mama Samia, kwa upendo, heshima na taadhima pokea mauwa yako👇🏾


View attachment 2660603


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Madam naomba penyeza jina langu kwenye teuzi za ukurugenzi wa taasisi yoyote inahusu mafuta na gesi tuendelee kunywa asali.
 
Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kuwa nayo hapa nchini,Watu na viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na hawapatikani kila mahali,huja Kama zawadi na huja na Neema mkononi kwa mamilioni ya watu,huja Kama nuru katikati ya Giza,huja Kama Tumaini kwa waliokata Tamaa,huja Kama Faraja kwa wabubijikwao na machozi.
Tuwe wakweli wa nafsi. Mama alikuja na ushetani wa hali ya juu, hata akawaweka watu ndani na kuwasingizia kesi za ugaidi akishirikiana na akina Kingai.

Sauti za mataifa ya nje ndiyo zika-shape, na akaona kuwa kwa kumtegemea shetani hafiki popote. Akabadilika. Kwa waumini, ni faraja kubwa kubwa kwa mwovu mmoja anapobadilika na kuwa mtu mwema. Tunamshukuru Mungu kwa kuweza kuugeuza moyo wake kutoka kwenye uovu mkuu wa kuwabambikia watu kesi za ugaidi, mpaka kuwaachia huru, hata wale ambao walibambikiwa na mtangulizi wake.

Lakini inaonekana shetani hajamkatia tamaa, anaendelea kumtafuta. Asipojitahidi kumpiga vita, atamwangamiza kwa kupitia mkataba wa hovyo wa DP.
 
Zungu kumbe ni mtu mnafiki mkubwa.

Yaani amewakusanya watoto, akawachamganya na majitu majinga ambayo sijui ameyapa nini maana yanashangilia hata kabla ya kusemwa chochote!

Kama kweli ana hoja za msingi kwa nini asingeitisha press akawaalika watu wenye uelewa na akili timamu, akatoa huo ufafanuzi wake kuhusiana na huo mkataba wa kishenzi wa DP? Kwa nini awatafute walevi, watu wasio na akili timamu na watoto?

Alaaniwe Zungu maana anawaharibu watoto wadogo kwa kuwajengea mazingira ya kupenda kutetea uovu.

Alaaniwe mtu yule anaye anayewaangusha watoto wadogo. Anastahili kufungiwa shingoni jiwe la kusagia na kuzamishwa majini.
 
Jioneeni[emoji1484]




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Wote hapo kwenye Meza kuu wanapopoma utopolo shida ni njaa zao na matumbo Yao kinyume cha hapo hamna kitu! Haiwezekani wote wanania Moja ya kuipeleka Tanzania mbele!
Wanaongelea upuuzi. Ushabiki kulinda kitumbua!
 
Naona hujayasikia yaliyoongewa hapo. Roho mbaya tu, unaacha hoja unaanza ya uzee. Fala kweli wewe.

Utakufa nacho kijiba cha roho.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wewe una roho nzuri? Mitano tena 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Wewe dada ni mshamba mdini pia HAUJUI watanzania wengi wamezaliana baba christian or mom Islam ,baba Muslim or mama christian post thread za MUHIMU watu wamezaliana Sana usipende kuwa mdini maana ukiwa mdini tayari ni mbaguzi NDIOA MAAANA MWALIMU NYERERE ALISEMA SIO NCHI YA UDINI AU UKABILA UKISIKIA MTU ANALETA IZO ISHU MKARIPIE MUELEKEZE nadhani umenielewa@Faiza foxy
 
Jioneeni👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.

Aisee.
 
Back
Top Bottom