Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Mkuu umeomba mkataba - haupo. Ila mie nimekuwekea makubaliano (Agreement)
Duh, mwislam unaporomosha matusi Kama hayo!Sasa hivi unauliza, kwanza si ulishamuwa hiyo? Umesahau mwongo mkubwa wewe.
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
Punguani wahed.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wacha uongo. Hayo matusi yako wapi? Au huelewi maana ya matusi?Duh, mwislam unaporomosha matusi Kama hayo!
Haki ya uislam iko wapi bibie!
Huyo bidada hata hajakukosea chochote!
Mbona mabraza wengi humu wanakuattack na kukukashifu na unawajibu kwa upole?
Kweli waislam wapo wachache!
Hatuwezi kusikiliza darsa la shaytwan.Naona huelewi maana ya mikataba ya IGA na HGA. Ukiilewa hutouliza tena hilo swali. Isikilize hiyo video clip iliyopo post namba moja, naibu spika anatowa darsa kuhusu ni nini IGA na nini HGA.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Shukrani AljazeeraMa shaa Allah, kazi ya Mungu haina makosa.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Azuke nayo pale Law School ndipo nitamwona yy ni mwanasiasa makini.Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Jioneeni👇🏾
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Yule Babu apumzike tu, miyeyusho tu.Hajui kuwa ayo makubaliano waliyopitisha Bungeni ndiyo sheria tayari kimataifa!Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
mataifa ya nyokoHakuna asiyekuwa na akili, Mwenyezi Mungu hafanyi ubaguzi.
Tatizo ni namna ya kuzitumia tu, au vizuri au vibaya.
Ukiona mtu anakwenda haja halafu hajioshi uchafu wake kwa maji, usifikiri hana akili, hajuwi tu namna ya juzitumia vizuri.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Na yeye asipokuwa makini atamfuata Magufuli,maaana wenye nchi wameshakataa Mpango wake tata wa Bandari.Ma shaa Allah, kazi ya Mungu haina makosa.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wabara na waarabu, hizi kauli zako zinachekesha sana jinsi ulivyozitumia katika andiko lako, lakini ndio akili za sasa za watanzania wa kawaida zinavyolipokea hili suala zima.Zungu ni mpotoshaji
Anasema mkataba haujaanza utekelezaji, kwamba yale makubaliano waliyoingia serikali na DP World ni ya mwanzo, hivyo wabara wasiogope, kwamba watakapokwenda kwenye mkataba halisi ndio wataingiza maslahi ya taifa!.
Kwanza nafurahi Zungu kukiri kwenye makubaliano ya mwanzo hakuna maslahi ya wabara, pia, kwasababu hao waarabu wameshaanza shughuli zao tangu October 2022, maana yake ni kwamba, wanatumia makubaliano waliyoingia mwanzo na serikali ambapo Zungu anakiri wabara hatuna chetu.
Hivyo mkataba kati ya DP World na serikali ya Tanzania, kwa kuahirikiana na bunge la Tulia, ni unyonyaji na ukoloni mamboleo kwa wabara, walaaniwe wote waliotupeleka utumwani Dubai.
Sakata la OIC na suala la DP World ni vitu viwili tofauti kabisa. Havina uhusiano wa aina yoyote ile.Na yeye asipokuwa makini atamfuata Magufuli,maaana wenye nchi wameshakataa Mpango wake tata wa Bandari.
Huyo Kikwete mwenyewe ameshawahi kuitwa na wenye nchi akahojiwa kama raia wa kawaida.
Hiogopeni Vatican, mwambieni Mama yenu akamuulize Mzee Mwinyi kuhusu sakata la OIC!
Hii nchi ni ngumu sana,endeleeni kumpa kichwa!
Basi Inshallah Sheikh!Sakata la OIC na suala la DP World ni vitu viwili tofauti kabisa. Havina uhusiano wa aina yoyote ile.
Loliondo ni uuzaji wa wanyama na Mzee Mwinyi baadae alikuja kukiri uchafu uliofanyika.
DP World na Tanzania ni suala la biashara za pande mbili za kukodisha bandari ya TZ. Ukodishaji na uendeshaji mzima wa bandari utategemea mikataba ya kibiashara itakayosainiwa kabla ya kampuni ya kigeni kuanza kufanya shughuli zozote zile.
Siyajui mengine, lakini naweza kusema kuwa mpaka dakika hii SSH hajauza kipande chochote cha Tanzania.
Hautaki maendeleo? unataka nyumba alizodhulumu watu Nyerere zibaki mpaka leo na uchakavu wake?
Hilo ni zoezi la Tanzania nzima, kama ulikuwa huelewi, hapo ni mwanzo tu. Tu nashukuru serikali kuliona hilo la kufuta kabisa makovu yote ya dhulma za Nyerere.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Yapo nengi sana yatabumburuka.Hakika mimi naunga mkono ✋ waarabu kuchukuwa bandari, kuna watu wache sana walinufaika na uozo ulio bandarini, kuna mtu binafsi namfahamu anatambua mtaani kila wiki anaondoka na 4m, na hicho ni cha mtoto wale siniors walikuwa wanakula zaidi, yaani kifupi zaidi ya milion 100 ilikuwa inapotea pale bandari ya DAR kila wiki.