Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yuko sahihi Zungu hawezi kuwa poyoyo km wengine humu.Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Babu yako analea wanao sahivi, wivu na chuki imewajaa. Mmezoea upotoshaji wacha wananchi waelimishweHuyo mzee alitakiwa apumzike alee wajukuu tatizo ni uchawa kwake unalipa leo ni naibu spika.
Analinda ugali wake.
Akili za mataga hizi.Babu yako analea wanao sahivi, wivu na chuki imewajaa. Mmezoea upotoshaji wacha wananchi waelimishwe
Kwa hiyo kwenye makubaliano hatuna sababu ya kuwa makini? Hayo makubiano si ndiyo msingi wa mikataba itakayofuata? Kwanini Zanzibar haipo?Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Hayo Makubaliano si ndio litakuwa zao la Mkataba ? Au Mnakubaliana mengine alafu Mkataba mnaweka Mengine ? Ni nani atakayechunguza tena kama Mkataba una maslahi ya Taifa au ndio yaleyale ya Mikabata iliyopita ? Kwanini kwenye Makubaliano tusiondoe sintofahamu yoyote ?Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World.
Kwahio kwenye Makubaliano hawakuweka mbele maslahi ya nchiAmesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Kwanini Makubaliano yasiangalie Sheria za ndani zinataka nini ? Why waste Time ?Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze
Nilidhani huu sio Mkataba ni Makubaliano ?wanaopinga mkataba huo.
Mkuu mbona huyo MBUNGE anatuchanganya? Yeye anasema ni makubaliano mara anawataka wananchi wa JIMBO lake wawapuuze wanaopinga Mkataba. Mimi simuelewi😂😂Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Serikali haifanyi biashara. Tunawakabidhi DP World ambayo ni ya serikali ya DubaiAkizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Sawa, wewe Baki hivyo. Lakini hujuiIkiwa wewe unajuwa, kwanini tena unauliza swali?
Wewe baki na navyojuwa na sisi tuwache tubaki na tunavyojuwa. Lakini jipume nafanikio, yako wewe na ya hao unaoona hawajuwi. Utapata jibu.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Zungu ni kabila eti?Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Haya ni majangili, pia Zungu siyo mtanzaniaZungu ni mpotoshaji
Anasema mkataba haujaanza utekelezaji, kwamba yale makubaliano waliyoingia serikali na DP World ni ya mwanzo, hivyo wabara wasiogope, kwamba watakapokwenda kwenye mkataba halisi ndio wataingiza maslahi ya taifa!.
Kwanza nafurahi Zungu kukiri kwenye makubaliano ya mwanzo hakuna maslahi ya wabara, pia, kwasababu hao waarabu wameshaanza shughuli zao tangu October 2022, maana yake ni kwamba, wanatumia makubaliano waliyoingia mwanzo na serikali ambapo Zungu anakiri wabara hatuna chetu.
Hivyo mkataba kati ya DP World na serikali ya Tanzania, kwa kuahirikiana na bunge la Tulia, ni unyonyaji na ukoloni mamboleo kwa wabara, walaaniwe wote waliotupeleka utumwani Dubai.
Wauelewe wapi, ni bas tu bora ngoma itembee!!Je wabunge wetu wameelewa mkataba wa Tanzania na Dubai au ni ushabiki tu?
Je kuna marekebisho gani wamependekeza?
Je wanajua ni wa Tanzania nzima?
Je wanajua unahuaisha mpaka anga ya Tanzania?
Zungu ni mpotoshaji