DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

Naona hujayasikia yaliyoongewa hapo. Roho mbaya tu, unaacha hoja unaanza ya uzee. Fala kweli wewe.

Utakufa nacho kijiba cha roho.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Bibi matusi ya Nini
DPw si mnayo tayari basi tulieni
 
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Huyo ndio kibaraka kabisa.
 
Naona hujayasikia yaliyoongewa hapo. Roho mbaya tu, unaacha hoja unaanza ya uzee. Fala kweli wewe.

Utakufa nacho kijiba cha roho.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Ila we mtu wewe uchawa utakuua
 
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Kwahiyo maslahi ya nchi mtayaweka mbele baadae, ila kwa sasa mnayawwka nyuma? 😂😂, mwehu hana staha kwa kweli
 
Back
Top Bottom