Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa nacho kijiba cha roho.useless
😘Nakupenda tu...😍Duh. Mchunba aliyekubuhu!
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Walishatuona mabwege, yyeye ni mwarabu, Samia ana damu ya haohao, Mbarawa naye ni walewale, kwani walichokifanya Loliondo kina tofauti gani na hiki? Janjajanja yai inatafutiwa dawa wasubiri patachimbikaAkizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)
Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Usichoke kunipenda😘Nakupenda tu...😍
Au wanajengewa wazenji? Maana huku kutupu, wanahamia huku wote kulamba😂Hautaki maendeleo? unataka nyumba alizodhulumu watu Nyerere zibaki mpaka leo na uchakavu wake?
Hilo ni zoezi la Tanzania nzima, kama ulikuwa huelewi, hapo ni mwanzo tu. Tu nashukuru serikali kuliona hilo la kufuta kabisa makovu yote ya dhulma za Nyerere.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tengeneza pesa uwe huru kuhamia popote ufakapo.Au wanajengewa wazenji? Maana huku kutupu, wanahamia huku wote kulamba😂
Wasieneze tu mambo yetu kwa wanaume maana 99% bwaaaa mchele
At least Mchina yeye angeweza kujenga kitu kikadumu kwa muda mfupi!!Angeuziwa mchina basi😂😂
TICTS waliokaa miaks 30 bandarini na hswakufanya chochote cha maana ni kina nani?Angeuziwa mchina basi😂😂
Wacha porojo, tupe ushahidi wa TICTS waliotimuliwa na mama bandari hiyo hiyo ya makontena mwaka jana, ni kina nani na walilipa nini kwa miaka 30?At least Mchina yeye angeweza kujenga kitu kikadumu kwa muda mfupi!!
By the way uwekezaji maeneo nyeti, tena ambayo tumeshajenga wenyewe hayajawahi kuwa na tija.
Wapewe maeneo mampya wajenge Bandari zao wenyewe!!
Ukweli unawaumiza, agenda zenu zimebuma.Huyu atakuwa kunguni sio chawa wala kupe
Chenye Saini ya Prof MMM kwa idhini ya Mama ni kitu gani? Mbona sentensi hazinyookiAmesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Lengo ni Tanzania kupata pesa nyingi kutoka kwa wawekezaji ama lengo ni kuwawezesha watanzania kuwa mahiri katika kusimamia rasilimali zao ili wapate uwezo wa kiuchumi na kusonga mbele katika nyanja nyingine?Wacha porojo, tupe ushahidi wa TICTS waliotimuliwa na mama bandari hiyo hiyo ya makontena mwaka jana, ni kina nani na walilipa nini kwa miaka 30?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.