DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

DP World: Zungu atinga mkutanoni na mafaili ya makubaliano

Anaishi Kigamboni huyu
Huyo kwao alipoizaliwa ni Kariakoo, mtaa wa Aggrey na sasa anaishi Ilala, kigamboni labfa ana kwake pia, maana watu wote wa Kariakoo Dar, wana vijishamba vyao nje ya jiji, hiyo ni toka enzi na enzi.

Hao kina Azan, nusu ya Kigogo ilikuwa ni shamba lao. Tunafahamiana na ukoo wao mzima hao. Watu wa zamani wa Kariakoo, sote tunajuwana vilivyo, tumeoleana sana. "Waarabu wa Pemba wanajuwana kwa vilemba".


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kariakoo Dar es Salaam wakazi wake wapatao 5,000 kuondolewa katika majengo , nani yupo nyuma ya mradi huu mkubwa wa kuvunja majengo yanayoitwa chakavu Mh. Musa Azzan Zungu ?

Wakaazi wa Kariakoo wajiuliza notisi hii kwa mamia na maelfu spidi yake nani yupo nyuma yake Mh. Zungu

Wao waondoke tu maendeleo yaje, siku 90 nyingi sana
 
Whatever lakini kwanini watu wanabishana na maandishi?

A itabaki kuwa A.
Kilichoandikwa kisipobadilishwa kwa kuandikwa, hakiwezi kubadilishwa kwa utetezi wa kwenye majukwaa!!

Halafu Mwarabu hana lolote
Naona huelewi maana ya mikataba ya IGA na HGA. Ukiilewa hutouliza tena hilo swali. Isikilize hiyo video clip iliyopo post namba moja, naibu spika anatowa darsa kuhusu ni nini IGA na nini HGA.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Jioneeni👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Mnatumia nguvu mno.

Kupitia Bandari mnataka tuingie mikataba ya mangungo wa usovero. Tushasoma na kuelimika tunataka mikataba yenye tija.

Hakuna anae kataa uwekezaji. Ila sio mkataba wa Masharti kwamba tusijitoe yaani hadi kufa tunaingia kwenye mahusiano na Dubai? Haiwezekani.
 
Jioneeni[emoji1484]




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Yamekusanywa majinga kwaajili ya kushangilia. Majitu yanashamgilia hata kabla ya kutamkwa chochote, unashangilia nini?

Umaskini wa akili ni tatizo kubwa kuliko yote. Wawatafute watu wenye uelewa mpana ndiyo wafanye argent badala ya kuyakusanya majinga na watoto wadogo. Wanawaharibu watoto wadogo ili waje kuwa kama wao.
 
Jioneeni[emoji1484]




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.
Kila mmoja ana jaribu kuongea uongo wake. Ccm imesha laaniwa. Wana tupa miguu kama kuku wa mganga.
 
Jioneeni👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

===
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake, Mussa Azan amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)

Amesema Tz itakapoingia mkataba na DP-World ndipo sheria za ndani zitakapotumika. Hivyo ametaka wananchi wa Ilala wawapuuze wanaopinga mkataba huo.

Hivi nini tofauti ya MKATABA na MAKUBALIANO?

Je, si kwamba MKATABA ni makubaliano ya pande mbili
na MAKUBALIANO ndiyo yanayoitwa mkataba?

Kama ndiyo hivyo, hawa wanasiasa wanataka ku - achieve nini kujaribu kuwafanya wananchi kama vile wajinga?

Kimsingi kilichopitishwa na bunge juzi ni Makubaliano kwa maana ya MKATABA mama kati ya kampuni ya DP World na Serikali ya Tanzania kuwaruhusu wachukue bandari zetu zote za bahari na maziwa makuu yote ya nchi ya Tanganyika na kuacha bandari za Zanzibar zote..!

Konachopingwa na watu sio makaratasi bali ni "intent" ya mkataba huo na "content" ktk vingi vya vifungu vyake, kwamba MKATABA huu intention yake ni kuiuza Tanganyika Kwa waarabu wa Dubai!!
 
Muuza Madawa.
Mwongo wewe.

Zungu aliitwa hivyo wakati hata madawa ya kulevya hayajulikani Tanzania.


Zungu ana rikodi nzuri sana ya maisha yake. Haina ujinga ujinga.

Alipomaliza shule alichukuliwa jeshini, alipotoka huko, akachukuliwa Dubai na ndugu yake (cousins) aliyekuwa nchezaji mzuri sana wa mpira Tanzania. Akaishi nje ya Tanzania kwa muda mrefu kiasi, aliporudi akajiingjza kwenye siasa.

Huyo wote toka ujanani kwake tulikuwa tunahisi ni mtu wa system, UWT. Hatujakosea.


Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hata sisi tuna akili, msifikiri mtatuburuza kama mnavyotaka.
Hakuna asiyekuwa na akili, Mwenyezi Mungu hafanyi ubaguzi.

Tatizo ni namna ya kuzitumia tu, au vizuri au vibaya.

Ukiona mtu anakwenda haja halafu hajioshi uchafu wake kwa maji, usifikiri hana akili, hajuwi tu namna ya juzitumia vizuri.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Back
Top Bottom