DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi



 
nimefarijika kwa ujumbe huu, siasa za chuki ndo changamoto yetu na mchawi wetu wa maendeleo
 
Jua hili. It is very dangerous when you are right and the Government is wrong
 

Kasome histori ya Rais wa sasa wa Zambia,
Alikuwa na Kesi lisu cha mtoto na hata kukaa jela
 
Huyu ndo mh lissu ninaemfaham
Hamungunyi maneno , anasema kilee jamii wanakijua na kwa wepesi sana
 
Nakushauri uende Zambia,ukawaambie wazambia,kwanini wamekubali HH apewe urais badala ya Edgar Lungu,kwani HH alikua na utitiri wa makesi meengii.... wakati Lungu hata hakua na makesi,nadhani HH amewahi hadi kufungwa,Lissu nadhani bado hajafungwa,inaonesha kesi zake ni za kubumba.
 
Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru...
Kuanzisha kesi kama hizi kunasaidia nini? Maana zinafutwa juu kwa juu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na jama huna kesi pia ujitafakari huna impact yeyote kwa jamii
 
Labda ili kuiepusha serikali yake na aibu inayoendelea mahakamani!

Vinginevyo, sio kazi ya Samia.
Wanasiasa aina ya Samia huwa hawana na hawaogopi aibu, sababu wanajiamini! JPM alikuwa hana confidence, aliuficha udhaifu huo kwa kuwa na ubabe wa kibwege! So wanaodhani yanayoendelea Mahakamani yanamnyima Samia usingizi wanajidanganya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…