DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Wanasiasa aina ya Samia huwa hawana na hawaogopi aibu, sababu wanajiamini! JPM alikuwa hana confidence, aliuficha udhaifu huo kwa kuwa na ubabe wa kibwege! So wanaodhani yanayoendelea Mahakamani yanamnyima Samia usingizi wanajidanganya sana
Acha uongo, na hii kesi ya gaidi ni vipi!?
 
Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Kama huna ushahidi na unachokisema ni vyema ukafunga domo lako lisitunukie
 
Lengo nikuamisha mjadala wa ,PGO hakuna la zaidi, kwani walizani mh lissu anaogopa KESI zao uchwara, ipo SIKU angewapeleka KWENYE PGO Mpaka watafutane
Hii ndio tunaita maamuma kupunch above the weighr

When was the last time umefanya mental health checkup?
 
Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Poor mind.nyerere na mandela walikuwa na makesi kibao,acha uoga dogo
 
Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu

After five years of purposelessly persecuting me & four journalists with baseless sedition charges, Tanzania's DPP has dropped the case. Five more equally frivolous cases remain & hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe. It's past time they're all withdrawn- Tundu Lissu

View attachment 1948307
Mnamfutia kesi lissu? Ngojeni muona akikutukaneneni badala ya kuona msingi uliyotumika. Huyu sio mtu wa kumsamehe makosa yake ya kisiasa. Anatakiwa kufika mahakamani ajitetee badala ya kukimbia nje ya nchi.
 
Waliagizwa muda mrefu na Mh. Rais Samia, wafute makesi ya kutunga lakini kiburi na dharau bado kipo kwenye system.
 
Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Elewa tu kuwa nimekutukana matusi yote ya hii dunia mpaka kifilipino
 
Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Nadhani wabambikaji kesi ndio wanatakiwa kujitafakari,haiwezekani mnafungua kesi nyingi ambazo mwisho wake mshtakiwa anashinda,mwenye shida ni nani hapo?
 
Au ni Mashahidi wamesepa? Hata Hawa wa kesi ya ugaidi sidhani Kama watajitokeza wote kwa mwenendo wa kesi unavyoonekana.
 
Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu

After five years of purposelessly persecuting me & four journalists with baseless sedition charges, Tanzania's DPP has dropped the case. Five more equally frivolous cases remain & hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe. It's past time they're all withdrawn- Tundu Lissu

View attachment 1948307
Sasa lissu mda mwingine awe na akili kidogo mana Dpp huyu mpya km haijui kesi vizuri aendelee nayo ili alishindwa upate credit wewe hujui anaweza kurudisha
 
Back
Top Bottom