MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Mabeberu nawaaminia!Itakuwa ni mbinyo wa mabeberu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu nawaaminia!Itakuwa ni mbinyo wa mabeberu!
Acha uongo, na hii kesi ya gaidi ni vipi!?Wanasiasa aina ya Samia huwa hawana na hawaogopi aibu, sababu wanajiamini! JPM alikuwa hana confidence, aliuficha udhaifu huo kwa kuwa na ubabe wa kibwege! So wanaodhani yanayoendelea Mahakamani yanamnyima Samia usingizi wanajidanganya sana
Yap entire book iko kwa kingereza.sasa mbona hawaujui? au umeandikwa kudhungu kigumu?
Kama huna ushahidi na unachokisema ni vyema ukafunga domo lako lisitunukieMtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Mbona mkuu anaongea ukweli, ccm Kama mnaanza kuja KWA kasi mitandaoni, Basi mjipange kweliAcha uongo, na hii kesi ya gaidi ni vipi!?
Mbona hueleweki unauliza nini?Acha uongo, na hii kesi ya gaidi ni vipi!?
Hii ndio tunaita maamuma kupunch above the weighrLengo nikuamisha mjadala wa ,PGO hakuna la zaidi, kwani walizani mh lissu anaogopa KESI zao uchwara, ipo SIKU angewapeleka KWENYE PGO Mpaka watafutane
Poor mind.nyerere na mandela walikuwa na makesi kibao,acha uoga dogoMtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Hana akili huyoKama huna ushahidi na unachokisema ni vyema ukafunga domo lako lisitunukie
Mnamfutia kesi lissu? Ngojeni muona akikutukaneneni badala ya kuona msingi uliyotumika. Huyu sio mtu wa kumsamehe makosa yake ya kisiasa. Anatakiwa kufika mahakamani ajitetee badala ya kukimbia nje ya nchi.Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu
After five years of purposelessly persecuting me & four journalists with baseless sedition charges, Tanzania's DPP has dropped the case. Five more equally frivolous cases remain & hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe. It's past time they're all withdrawn- Tundu Lissu
View attachment 1948307
Sijui KWA nini , ccm wengi ukiwapiga nyimbo za marahem Komba Wanazicheza Sana , njoo sasa KWA jukwaa hanna kitu,waoga balaaYap entire book iko kwa kingereza.
Elewa tu kuwa nimekutukana matusi yote ya hii dunia mpaka kifilipinoMtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Mkuu ila umeunganisha connection nyingi ,nimekuelewa kidogo Ngoja ni like post yakoHii ndio tunaita maamuma kupunch above the weighr
When was the last time umefanya mental health checkup?
Watakoma PGO KWANZA hawajuiWaliagizwa muda mrefu na Mh. Rais Samia, wafute makesi ya kutunga lakini kiburi na dharau bado kipo kwenye system.
Nadhani wabambikaji kesi ndio wanatakiwa kujitafakari,haiwezekani mnafungua kesi nyingi ambazo mwisho wake mshtakiwa anashinda,mwenye shida ni nani hapo?Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Sasa lissu mda mwingine awe na akili kidogo mana Dpp huyu mpya km haijui kesi vizuri aendelee nayo ili alishindwa upate credit wewe hujui anaweza kurudishaBaada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu
After five years of purposelessly persecuting me & four journalists with baseless sedition charges, Tanzania's DPP has dropped the case. Five more equally frivolous cases remain & hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe. It's past time they're all withdrawn- Tundu Lissu
View attachment 1948307
Pasco hukui tu? Ndiyo maana Kawe walikukataaUnapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia
Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P