DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

Natamani Mganga Biswalo akate rufaa kisha ashinde, ili CCM ione hasira za Watanzania Oktoba kwenye Uchaguzi Mkuu.
Kosa hili lililotokea la faini iliyopitiliza imeipaisha sana Chadema katika mioyo ya Watanzania.
Kosa hilo la DPP na IGP Simon Sirro lisirudiwe tena. Asilani
 
Wanachama wenu wako wapi? Nguvu ya uma iko wapi?
Chadema pesa yte anakula mbowe.
 
Kujimwambafay ili kumfurahisha sijui nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DPP mpumbavu sana ajui sheria anatumika muache akate rufaa ...aje atambue nguvu ya umma.
 
Kwahiyo anakata rufaa kuifurahisha nafsi yake?
Kweli nchi hii kuna utoto unaenda hadi aibu kuja kuwasimulia watoto wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza picha limeanza kwa kuonyesha majina ya washiriki!
 
Samahani mkuuu km umekaa na wasukuma wala usingehangaika hata kuandika haya ...sisi wasukuma ni watu safi sana ila kuna watu wanataka tuonekane sisi ni jamiii ya watu wapuuzi ila hawatafanikiwa ...karibu Mwanza tule sangala
Wasukuma wamejimilikisha nchi yetu na roho zao mbaya za kichawi. Ikulu, dpp, ag.... ni wao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisoma na kusikiliza wasomi w sheria wengine napata kichefuchefu hasa nikinusa harufu majalala!!! Something is wrong where is the burning hill comrades of our times??!!
 
Hiki kimtu kifupi kama mavi ya mwisho kinajjona kimeyapatia sana maisha. Kinakubali kutumika na Jiwe, iko siku Jiwe atatoka madarakani na watajuta sana

Kamanda kuwa mvumilivu hiyo ndio demokrasia na huo ndio utawala wa sheria mnao ulilia kila leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…