kuwa mstahimilivu kua na subra....Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Huyu Rais tumepatikana safari hii. Halafu anataka tena 2025. Mungu tuteteeTumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Mtanikumbuka...Alivyokuwa anawaomba kwa maneno matamu ya rafudhi laini ya kizanzibari hakuna atakayeacha kuiba kwa ile lugha tamu anayotumia.
Akisema tu maana yake tayari ni maagizo !!Kama raisi anachukua hatua gani kuonyesha mfano?
Mkubwa analalama bila kuchukiua hatua, je hizo taasisi zitafanya nini?
Duh 🙄 !haiwezekani,kuna mifumo ya nchi mpaka ifumuliwe alafu isukwe upya kuenda na mahitaji tuliyonayo sasa ya kudhibiti rushwa,wizi na ufisadi.
kuna mkuu wa mkoa ni tiss na anakula pesa za miradi yeye na mkurugenzi kwa uwazi kabisa na hizo taasisi ulizotaja zipo.
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Mkuu funguka zaidi tuujue huo mkoa, hii ndiyo namna tutaisadia nchi yetu kufichua uovu through JFhaiwezekani,kuna mifumo ya nchi mpaka ifumuliwe alafu isukwe upya kuenda na mahitaji tuliyonayo sasa ya kudhibiti rushwa,wizi na ufisadi.
kuna mkuu wa mkoa ni tiss na anakula pesa za miradi yeye na mkurugenzi kwa uwazi kabisa na hizo taasisi ulizotaja zipo.
Hiiii !! 🙏Mtanikumbuka...
Ndicho ninachomaanisha, atoe kauli.Akisema tu maana yake tayari ni maagizo !!
Inapaswa wanaohusika waanze upelelezi wakati huo huo !
Rais sio kazi yake kupeleleza kumfikisha mtuhumiwa Mahakamani na kisha kumfunga au kumwachia mtuhumiwa huru !
Mimi ninavyofahamu ni kwamba Rais akitamka kitu kama hicho maana yake ni kwamba ameshatoa go ahead ya wasaidizi wake waanze kazi. !
That’s it !🙏
kua mstahimilivu, kuwa mwenye subra....Tumesubiri sana mpaka kazi ya CAG inakuwa USELESSView attachment 2934292