Hii ichi wizi,rushwa, na ufisadi hauwezi kuisha ikiwa ccm ipo madalakani .
Kwasababu kuanzia uongozi wa ju mpqka chini wengi wao wanapatikana kwa mambo hayo matatu.
Ikiwa uchaguzi mkuu polisi anawanalinda wizi wa kura na uchaguzi haramu ,kupititishwa kwa mabox ya wizi wa kura za ccm kuna nini hapo??
Viongozi wengi wa mikowa ,halimashauri na taasisi mbalimbali wanapatikana kwa rushwa,kujipendekeza kunanini hapo??
Hata ufisadi na mafisadi yakionekana wanahamishwa na si kufutwa kazi na kufilisiwa mali walizo iba kuna nini hapo??.
Umekuwa ni utaratibu kila mtu analalamika kuwa kuna wizi na upotevu wa pesa ,mali za umma ,wananchi wanalalamika na viongozi wanalalamika .
Wananchi wabadili mfumo wa utawala ,kuwe na katiba mpya ,na kuwe na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi na watendaji wa serikali hapa tutafanikiwa na maendeleo halisi yataanza kupaa kwa kasi na si maendeleo ya kwenye makalatasi kama sasa ilivyo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU IBARIKI AFRIKA.