DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Wanaowatqja wenyewe wako madarakani kwa wizi wa kura, na hao waliotajwa wanajua wanaowataja nao ni wezi vilevile. Hakuna mwizi anamuogopa mwizi mwenzie.
 
Akishatoa kauli kwamba kuna watu wanaiba pesa za Serikali maana yake ni kwamba wasaidizi wake waanze upelelezi hapo hapo !
Matamko ya mkuu wa Nchi huwa ni maagizo moja kwa moja !!
Kama alikuwa serious hayo ni maagizo ya vikao vya ndani?
 
kua mstahimilivu, kuwa mwenye subra....

mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali anawajibika kikatiba kubainisha matumizi ya serikali, na Rais pia anawajibika kwa wanainchi kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania..

kwa ufupi wanatekeleza wajibu wao kikamilifu...
Wwe sasa unaleta utoto kwenye mambo ya msingi, achaa mara moja!!
 
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Bado hivi vyombo tunaviamini vikiamua vinaweza.

Tangu nikiwa mdogo na sasa nazeeka tuliamini kuwa hivi Vyombo viko Infiltrated kila mahali. Na kwa kuwa ni vyombo vya Wazalendo tu basi tusingetarajia wizi wa mali za umma, fedha na rasilimali za Nchi.

Wananchi Bado tuna imani vikiamua kusaidia Taifa inawezekana.

WB wametangaza hasara Tanzania, kwa mujibu wa taarifa ni kuwa 3Milion Tanzaniana wametumbukia kwenye umaskini Mkubwa.

You can imagine ni watu wangapi vipato vimepungua hata kama hawajazama kwenye dimbwi la umaskini.

" ujasusi wa Kidola na Kiuchumi"

Kama Mh Rais Samia alivyosema tumekopa sana miaka hii mitatu. That is to say kuna Injection( finance) kubwa sana Trilions of Money ndani ya Nchi.

Sasa hizi repoti za ukuaji wa uchumi kushuka wakati ambao tunajenga miradi mikubwa zinatokana na nini?
 
Mimi ninavyofahamu ni kwamba tamko lolote la Rais kwenye hadhara huwa ni maagizo !
Isipokuwa labda yale matamko ya Utani utani ambayo yanafahamika kwamba alikuwa anatania tu !!
Aliyekuwa anatoa maagizo ni JPM.
Hapo ni kama mtu anatoa takwimu tu.

Amiri jeshi mkuu inapaswa unakuwa na kauli tena za kibabe hasa kwa wafanya kazi wasio waaminifu na kuonyesha mfano kwa wengine.
 
Kauli za kibabe hazisaidiii chochote zaidi watu wanakuchora tu.

Tusibase kwenye Ubabe kwani sheria za Nchi si zipo?

Wamtie mwizi mmoja ndani wawili watatu uone kama wizi utarudia tena.
 
Mimi ninavyofahamu ni kwamba tamko lolote la Rais kwenye hadhara huwa ni maagizo !
Isipokuwa labda yale matamko ya Utani utani ambayo yanafahamika kwamba alikuwa anatania tu !!
Kama hawawezi kuchukua hartua basi bora awapige chini wote kisha aweke wengine wanaoweza kumsaidia.

Otherwise wanakula mshara na marupurupu bila kufanya kazi zao.
 
Hatua zitachukuliwa tu maana wao ndio wenye weledi na kazi zao !
 
Kauli za kibabe hazisaidiii chochote zaidi watu wanakuchora tu.

Tusibase kwenye Ubabe kwani sheria za Nchi si zipo?

Wamtie mwizi mmoja ndani wawili watatu uone kama wizi utarudia tena.
Nani anafuata sheria za nchi? Serikali yenyewe haifuati sheria.

Fisadi dawa yake ni kunyonga tu, zaidi miaka 60 bado mnajenga vyoo, hata China wamefika pale kiubabe, US wamefika pale kiubabe wanakuja wadanganya haki za binadamu wao wana print karatasi zinaitwa dollar na kuzamia middle east kununua mafuta kwa dollar ukikataa kichapo na mafuta wanachukua.

Fisadi nyonga tu, Mungu mwenyewe kasema atatuchoma moto milele kama kuni, binadamu ni wabishi bila ubabe hawaendi.
 
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Kauli mbiu ya ccm ni ujambazi wa mali za serikali..hao unaowataja hawana jeuri yeyote,sabaya mpka ushahidi wa cctv camera ulikuepo ila kashinda kesi
 
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Mwiigulu anasema amna ufisadi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Rais ni mnafiki, yeye pia ni sehemu ya ufisadi, taasisi zote ziko chini yake anashindwaje kuzitumia? Anaogopa akiwagusa nao wanajua uchafu wake watamuumbua
 
Back
Top Bottom