DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

CAG ndo 'meini stelingi' ndo kubwa la maadili maana anaingiaga laivu kukagua Hadi a/c za wahusika.
CAG kama haoni Hela nyiiingi zinaibwa vile asemavyo prezdaa maana yake ameshindwa kazi anapaswa kujiuzulu!!
"CAG AJIUZULU HARAKA SANA KAMA KWELI ANAMHESHIMU RAIS NA NCHI KIUJUMLA"
Mbona CAG yuko vizuri sana tu, au hukusoma ripoti ya mwaka jana
 
Tatizo liko kwa mama, kama na yeye hayumo kwenye upigaji, kwanini hachukui hatua na mamlaka tumempa, huyu bibi mkimchagua Tena, inchi tunaizika rasmi.
 
Nani anafuata sheria za nchi? Serikali yenyewe haifuati sheria.

Fisadi dawa yake ni kunyonga tu, zaidi miaka 60 bado mnajenga vyoo, hata China wamefika pale kiubabe, US wamefika pale kiubabe wanakuja wadanganya haki za binadamu wao wana print karatasi zinaitwa dollar na kuzamia middle east kununua mafuta kwa dollar ukikataa kichapo na mafuta wanachukua.

Fisadi nyonga tu, Mungu mwenyewe kasema atatuchoma moto milele kama kuni, binadamu ni wabishi bila ubabe hawaendi.
Hahahaa jamaa una hasira nao.
 
CAG vijana wake wanapewa mafungu Sana kuficha uozo. Ukiona waliotajwa huenda hawakutoa hela
 
Mbona CAG yuko vizuri sana tu, au hukusoma ripoti ya mwaka jana
Wewe uliisoma? Embu tuambie alieleza WIZI wa Hela wa waziwazi maeneo gani? Alieleza kuhusu mifumo miwili inayoiibia serikali? Watu wangapi walishtakiwa kwawizi wawazi kama waziri mkuu aliyofanya?
 
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.

Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Rais hatakiwi kulalamika. Anatakiwa kutake action. Kama Rais analalamikia sisi wananchi tufanyeje.

Hao Unapodai wanatakiwa kuchunguza ni wateule wa Rais.... Na wanatakiwa kuchunguza pia ni wateule wa Rais... Tena ambao wameruhudiwa kula kwa urefu wa kamba zao.

Rais hayuko serious. Angekuwa serious angeifanyia kazi report ya CAG. Vilevile umeona mchezo ulivyochezwa Bungeni mwaka jana kuhusu report ya CAG. Ni uhuni mtupu.
 
Huyu mama wa DP WORLD si ndo aliwaambia kwenye balaza la mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao wasile sana.
 
Rais hatakiwi kulalamika. Anatakiwa kutake action. Kama Rais analalamikia sisi wananchi tufanyeje.

Hao Unapodai wanatakiwa kuchunguza ni wateule wa Rais.... Na wanatakiwa kuchunguza pia ni wateule wa Rais... Tena ambao wameruhudiwa kula kwa urefu wa kamba zao.

Rais hayuko serious. Angekuwa serious angeifanyia kazi report ya CAG. Vilevile umeona mchezo ulivyochezwa Bungeni mwaka jana kuhusu report ya CAG. Ni uhuni mtupu.
Bunge liko compromised na hii inatokana na watu walioingizwa na MAGUFULI mwaka 2020. Spika ni kituko na wabunge ni wa chama kimoja. Horrible
 
Uliona wapi taku wakidili na kesi kubwa wao ni hizi hizi za kuonea watumishi wa chini,karani,mwalimu,nesi,kapokea elf tano ya mlalai na sio hizo Grand corruption.
 
Fisi yupo juu ya Sheria ushawahi ona fisadi anakaa jela?
Bongo hii.
Mramba mwenyewe alipiga picha kashika ufagio.
Eti mtu anaiba mabilioni halafu anapewa hukumu ya kufanya usafi.
Seriously.
 
Back
Top Bottom