Akishatoa kauli kwamba kuna watu wanaiba pesa za Serikali maana yake ni kwamba wasaidizi wake waanze upelelezi hapo hapo !Ndicho ninachomaanisha, atoe kauli.
Kila mtu anahitaji pesa.haiwezekani,kuna mifumo ya nchi mpaka ifumuliwe alafu isukwe upya kuenda na mahitaji tuliyonayo sasa ya kudhibiti rushwa,wizi na ufisadi.
kuna mkuu wa mkoa ni tiss na anakula pesa za miradi yeye na mkurugenzi kwa uwazi kabisa na hizo taasisi ulizotaja zipo.
Wanaowatqja wenyewe wako madarakani kwa wizi wa kura, na hao waliotajwa wanajua wanaowataja nao ni wezi vilevile. Hakuna mwizi anamuogopa mwizi mwenzie.Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Kama alikuwa serious hayo ni maagizo ya vikao vya ndani?Akishatoa kauli kwamba kuna watu wanaiba pesa za Serikali maana yake ni kwamba wasaidizi wake waanze upelelezi hapo hapo !
Matamko ya mkuu wa Nchi huwa ni maagizo moja kwa moja !!
Amesema waanze upelelezi?Akishatoa kauli kwamba kuna watu wanaiba pesa za Serikali maana yake ni kwamba wasaidizi wake waanze upelelezi hapo hapo !
Matamko ya mkuu wa Nchi huwa ni maagizo moja kwa moja !!
Wwe sasa unaleta utoto kwenye mambo ya msingi, achaa mara moja!!kua mstahimilivu, kuwa mwenye subra....
mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali anawajibika kikatiba kubainisha matumizi ya serikali, na Rais pia anawajibika kwa wanainchi kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania..
kwa ufupi wanatekeleza wajibu wao kikamilifu...
Ziwe za Halali kwa urefu wa kamba yako !Kila mtu anahitaji pesa.
tuliza mihemko, kuwa mstahimilivu na mwenye subra...Wwe sasa unaleta utoto kwenye mambo ya msingi, achaa mara moja!!
Mimi ninavyofahamu ni kwamba tamko lolote la Rais kwenye hadhara huwa ni maagizo !Amesema waanze upelelezi?
Bado hivi vyombo tunaviamini vikiamua vinaweza.Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Aliyekuwa anatoa maagizo ni JPM.Mimi ninavyofahamu ni kwamba tamko lolote la Rais kwenye hadhara huwa ni maagizo !
Isipokuwa labda yale matamko ya Utani utani ambayo yanafahamika kwamba alikuwa anatania tu !!
Kauli za kibabe hazisaidiii chochote zaidi watu wanakuchora tu.Aliyekuwa anatoa maagizo ni JPM.
Hapo ni kama mtu anatoa takwimu tu.
Amiri jeshi mkuu inapaswa unakuwa na kauli tena za kibabe hasa kwa wafanya kazi wasio waaminifu na kuonyesha mfano kwa wengine.
Kama hawawezi kuchukua hartua basi bora awapige chini wote kisha aweke wengine wanaoweza kumsaidia.Mimi ninavyofahamu ni kwamba tamko lolote la Rais kwenye hadhara huwa ni maagizo !
Isipokuwa labda yale matamko ya Utani utani ambayo yanafahamika kwamba alikuwa anatania tu !!
😅😃Hao ndio wapigaji wakuu. Mwizi hawezi zuia mwizi mwenzie
Hatua zitachukuliwa tu maana wao ndio wenye weledi na kazi zao !Kama hawawezi kuchukua hartua basi bora awapige chini wote kisha aweke wengine wanaoweza kumsaidia.
Otherwise wanakula mshara na marupurupu bila kufanya kazi zao.
Nani anafuata sheria za nchi? Serikali yenyewe haifuati sheria.Kauli za kibabe hazisaidiii chochote zaidi watu wanakuchora tu.
Tusibase kwenye Ubabe kwani sheria za Nchi si zipo?
Wamtie mwizi mmoja ndani wawili watatu uone kama wizi utarudia tena.
Kauli mbiu ya ccm ni ujambazi wa mali za serikali..hao unaowataja hawana jeuri yeyote,sabaya mpka ushahidi wa cctv camera ulikuepo ila kashinda kesiTumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Mwiigulu anasema amna ufisadiTumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268
Rais ni mnafiki, yeye pia ni sehemu ya ufisadi, taasisi zote ziko chini yake anashindwaje kuzitumia? Anaogopa akiwagusa nao wanajua uchafu wake watamuumbuaTumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
View attachment 2934268