DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

Mbona CAG yuko vizuri sana tu, au hukusoma ripoti ya mwaka jana
 
Tatizo liko kwa mama, kama na yeye hayumo kwenye upigaji, kwanini hachukui hatua na mamlaka tumempa, huyu bibi mkimchagua Tena, inchi tunaizika rasmi.
 
Hahahaa jamaa una hasira nao.
 
CAG vijana wake wanapewa mafungu Sana kuficha uozo. Ukiona waliotajwa huenda hawakutoa hela
 
Mbona CAG yuko vizuri sana tu, au hukusoma ripoti ya mwaka jana
Wewe uliisoma? Embu tuambie alieleza WIZI wa Hela wa waziwazi maeneo gani? Alieleza kuhusu mifumo miwili inayoiibia serikali? Watu wangapi walishtakiwa kwawizi wawazi kama waziri mkuu aliyofanya?
 
Rais hatakiwi kulalamika. Anatakiwa kutake action. Kama Rais analalamikia sisi wananchi tufanyeje.

Hao Unapodai wanatakiwa kuchunguza ni wateule wa Rais.... Na wanatakiwa kuchunguza pia ni wateule wa Rais... Tena ambao wameruhudiwa kula kwa urefu wa kamba zao.

Rais hayuko serious. Angekuwa serious angeifanyia kazi report ya CAG. Vilevile umeona mchezo ulivyochezwa Bungeni mwaka jana kuhusu report ya CAG. Ni uhuni mtupu.
 
Huyu mama wa DP WORLD si ndo aliwaambia kwenye balaza la mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao wasile sana.
 
Bunge liko compromised na hii inatokana na watu walioingizwa na MAGUFULI mwaka 2020. Spika ni kituko na wabunge ni wa chama kimoja. Horrible
 
Uliona wapi taku wakidili na kesi kubwa wao ni hizi hizi za kuonea watumishi wa chini,karani,mwalimu,nesi,kapokea elf tano ya mlalai na sio hizo Grand corruption.
 
Fisi yupo juu ya Sheria ushawahi ona fisadi anakaa jela?
Bongo hii.
Mramba mwenyewe alipiga picha kashika ufagio.
Eti mtu anaiba mabilioni halafu anapewa hukumu ya kufanya usafi.
Seriously.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…