DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

Status
Not open for further replies.
Napita tu, mimi nipo kwenye masikitiko Papa anajiuzulu...

Wangetupatia cv zake tumjue vizuri. Kama hali ni hivyo hawezi achiwa kwa dhamana. Labda walimtafuta sasa yuko kwenye kumi na nane zao hawamwachii. Waislam kazeni Dua Shehe asije potelea kizuizini
Kinachonifurahisha ni kwamba Waislamu wanapambana na waislamu wengine.. Jakaya,Mohamed,mohamed,Seif,Seif tena,mohamed,Said,Seleman na kaimu wake Ahmed....Wanataka kumtoa Issah!!!
Yaani hapo kuna
Rais
Rais
makamu
makamu
makamu
Jaji mkuu
mkuu wa polisi
mkuu wa polisi Dar
kaimu mkuu wa polisi Dar.
Anayelalamikiwa mfumo kristo ni mmoja tu....Eliezer Feleshi..Je wangekuwa wawili tena awe makamu tu wa rais si mngekuwa Nchi nzima mmewekwa ndani..Nyambaf

kitakachofuata kwa shekh Ponda ni kumwambia kwamba alishiriki kumuua rais karume kama walivyomtuhumu Salim Salim. polisi wanachofanya ni kuwapakazia watu wanapoona maslahi ya ccm yako hatarini,lakini waelewe kwamba tutakapopata serikali makini watawajibika kwa wanayoyafanya

tunajua marekani wameewafundisha ya kuwa kila muislam ni gaidi!!!hakuna marefu yasiyo na ncha!!allah yupo na waislam

Allah yuko na waislam,wasiokuwa waislam, vilivyo hai na visivyokuwa hai. Cha msingi ni kuwa rational na kufuata utaratibu.

mmmh! kama anahusika na al-shabab pana kazi huyu sheikh kuachiwa..

kwa mujibu wa qur'an tukufu; walio karibu zaidi kwa urafiki na waislam ni wale wanaosema ni wakristo na walio maadui wa uislam ni mayahudi na wale wasiokuwa na kitaab!.

Sasa wewe suala la kwamba maadui wa waislam ni wakristo umepata wapi?[/SIZE]

Qur'an, SURAT AL MAIDAH 5:14

Kidudu mtu ndani ya nchi yetu,huyu siyo raia kwani si kila mtu anayeishi Kigoma ni raia,mbona hata sheikh mwenzake aliyeamua kuokoka huko kigoma alishasema na huyo sheikh kesharudi kwao Burundi!

Huyu shehe Issa Ponda si ndio aliunda kikosi cha KUMPINDUA MUFTI WA TANZANIA MPAKA SERIKALI ILIPOINGILIA KATI?

AL-SHABAAB TANZANIA? Hivi wakati wanaingia serikali ilikua imelala?

Sipendi mtu kuonewa au kunyimwa haki zake za msingi lakini huyu mwovu anayejiita Shekhe Ponda, kwa jinsi alivyo na roho mbaya ya kupandikiza chuki kati ya waislam na wasio waislam, atakuwa ni faraja kubwa kwa wapenda amani wote hata kama akatumia muda wake wote ndani ya cells za polisi. Hawa ni watu wasiotakiwa nchini, serikali ingeamua kuchukua msimamo mkali wa au kumweka kizuizini au kumrudisha kwao Burundi.

Huyu shehe Issa Ponda si ndio aliunda kikosi cha KUMPINDUA MUFTI WA TANZANIA MPAKA SERIKALI ILIPOINGILIA KATI?

huu ndio mfumo kristo na kudhihirisha dhulma na chuki dhidi ya waislam,kosa la kumnyima mtu dhamana ni mauaji na uhaini,lkn kesi ya madai haimyimi mtu dhamana.mbona lulu alieua kapewa dhamana au kwa kua si mwislam?mbona mtikila ametukana na kuchochea lkn DPP hakumyima dhamana?kwa kua ni mtu wa kanisa?waislam hatupaswi kurudi nyuma ktk maandamano ya kesho endapo ponda hatapewa dhamana leo.tupo tayari kufa kupinga dhulma dhidi ya waislam.maana serikali yetu hupata akili mpaka wakishuhudia mauaji

By babalao 2

Wangetupatia cv zake tumjue vizuri. Kama hali ni hivyo hawezi achiwa kwa dhamana. Labda walimtafuta sasa yuko kwenye kumi na nane zao hawamwachii. Waislam kazeni Dua Shehe asije potelea kizuizini
Kinachonifurahisha ni kwamba Waislamu wanapambana na waislamu wengine.. Jakaya,Mohamed,mohamed,Seif,Seif tena,mohamed,Said,Seleman na kaimu wake Ahmed....Wanataka kumtoa Issah!!!

Yaani hapo kuna

Rais

Rais

makamu

makamu

makamu

Jaji mkuu

mkuu wa polisi

mkuu wa polisi Dar

kaimu mkuu wa polisi Dar.

Anayelalamikiwa mfumo kristo ni mmoja tu....Eliezer Feleshi..Je wangekuwa wawili tena awe makamu tu wa rais si mngekuwa Nchi nzima mmewekwa ndani..Nyambaf

Mkuu kuna jaji kiongozi sijamuona hapo. Hivi hiyo list ingekuwa ni watu wa MSALABA SIPATI PICHA.

duh issue ya al shabab wakimwacha askari wa bongo wamarekani wanae! Kashapewa kesi hiyo

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom