DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

.....na tuyaone hayo mayai unayotaka kutaga, maana si kwa kuhangaika huko!
 
DP sio chama cha Siasa (cha kuwaza wapiga kura) wao wanafanya biashara (profit making) ikiwa mmeshindwa kuweka terms nzuri si wajibu wao.
 
Wamekutuma eeh F...a.l...a wewe
 
Unaleta utani au?
 
Ni walaghai!! Wameutumia vibaya umasikini wa tuliowaamini
 
Kwani anayelaumiwa ni DP World au Samia na serikali yake?

Culprits hapo ni Samia na wenzake.

Samia hata kujielezea na kuushawishi umma hawezi. Yeye ni mipasho tu.

Mimi binafsi wala siwalaumu hao DP.

Ni Samia tu kwa 💯%.

She is very inept in so many ways.
 
Hao waarabu ni matapeli, hawastahili kuombwa radhi. Matapeli kwa sababu wanatumia pesa kuwahonga wenye mamlaka ili wapate haki ya kuwekeza kitapeli kwenye nchi husika.

Hawajui kufanya kazi kwa weledi, hawajui kutumia ufanisi wao maeneo mengine walikowekeza ili kuwashawishi wengine kuvutiwa kufanya kazi nao.

Badala yake tunaona ndio wamefunguliwa kesi karibia kila nchi wapipokwenda kuwekeza, kuwaomba radhi matapeli wa sampuli hii kutatuonesha tulivyo wajinga wakubwa tusiojitambua.
 
Weledi utaupata Ulaya na Marekani(Wazungu). Barani Asia na Afrika ni mwendo wa mlungula (paid trips, buying properties in Dubai, China na kuficha hela huko)
**Asia (Arabuni, China na India)
 
Uchizi kamili.
Unajiachia wazi na kuonyesha hali yako halisi.

Usifikiri unaweza kunivuta kwenye kujadili ukichaa wako. Sina muda wa kupoteza na watu wa aina yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…