uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mafisadi hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi nani? Dubai au sisi?Mafisadi hayo
Swali fikirishiMafisadi nani? Dubai au sisi?
.....na tuyaone hayo mayai unayotaka kutaga, maana si kwa kuhangaika huko!Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Wamekutuma eeh F...a.l...a weweNi wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Matusi yanafanya huu Uzi upoteze ladhaWamekutuma eeh F...a.l...a wewe
Unaleta utani au?Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Ni walaghai!! Wameutumia vibaya umasikini wa tuliowaaminiNi wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Sasa kosa la nani hapo? Mlishindwa nn kuweka vigezo vya kumbana yeye DP?Ni walaghai!! Wameutumia vibaya umasikini wa tuliowaamini
Weledi utaupata Ulaya na Marekani(Wazungu). Barani Asia na Afrika ni mwendo wa mlungula (paid trips, buying properties in Dubai, China na kuficha hela huko)Hao waarabu ni matapeli, hawastahili kuombwa radhi. Matapeli kwa sababu wanatumia pesa kuwahonga wenye mamlaka ili wapate haki ya kuwekeza kitapeli kwenye nchi husika.
Hawajui kufanya kazi kwa weledi, hawajui kutumia ufanisi wao maeneo mengine walikowekeza ili kuwashawishi wengine kuvutiwa kufanya kazi nao, badala yake tunaona ndio wamefunguliwa kesi karibia kila nchi wapipokwenda kuwekeza, kuwaomba radhi matapeli wa sampuli hii kutatuonesha tulivyo wajinga wakubwa tusiojitambua.
Hiyo ni tafsiri yakoMatusi yanafanya huu Uzi upoteze ladha
Uchizi kamili.New members, mtasubiri sanaaa, watanzania tunakwenda mbele na mwarabu kwa maendeleo
Mlichobakia nacho ni kudhania dhania tu,
Mirija yote inazibwa mnaweweseka,
Kuanzia parokia, kunya land, warundi na wanyarwanda mjiandae tu hakuna namna, tuna rais mtanzania originally saa hii, si hao foreigners waliopita ukitoa wawi walio hai