Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

Brother Pascal usishinikize Kwa sababu .......wewe ulitoswa ubunge WA east Africa ......muonee huruma huyo maana sidhani kama anakosa wajukuuu.........atakosa Pa kwenda huyo ......si unajua alikunywa supu ya miguu ya kuku SASA ni kuchakula chakula mwambie akalibie CHAUMA
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!, utaheshimika zaidi na zaidi, kwa kufuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali
Umenena vyema. Watu wengi wanamsupport Bashiru.
 
Sitegemei Bashiru afanye huo ujinga alioufanya Ndugai, kama akifanya hivyo atakuwa mtu wa ajabu zaidi asiyejifunza kwa lolote, hizi kelele kwa namna moja au nyingine naamini lazima alizi anticipate hivyo sioni kama zitamsumbua kwa vyovyote.
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!, utaheshimika zaidi na zaidi, kwa kufuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali
Kazungumza kweli.Mlala hoi ndio mwajiri wa serikali kupitia kura zake.Hapa kwetu mlala hoi hana sauti na kura zake zinachakachuliwa.

Simpendi Bashiru ila kasema kweli.
 
Usisahau pia kuwa Bashiri ni Muislamu, ndo maana hata jinsi anavyojibiwa ni kwa heshima husikii akiitwa kiroboto au sijui aambiwe “kazikwe naye Chato”, kuna limit how far they can go with him hata afanye nini huwezi kusikia kadhalilishwa utu wake hata siku moja, some people are more equal than others, and Muslims stick together no matter what, kama hauamini mshauri mtu kama Kabudi arudie ajilipue halafu utasikia huo moto wake,…
Kashaitwa kaka yake Kiroboto kawekeka na picha ya kiroboto, hujaona post?
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.

Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.

Paskali
Na ndivyo alivyo I guess. Few words. Lakini amesikika. Hizi siasa zetu za sasa zina shida gani na kukosoana au kuonyana? Mpaka wote tutumbukie shimoni?
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.

Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.

Paskali
Kaka Tanzania Ina wapumbavu wengi mno, hawa mende wote walikuwa nakinyongo na hamu na bashiru nae kawapa walichotaka, tena ambacho hakina direct interpretation na uzuzu wao, kuna multiple dimensions za tafsiri ya maudhui yake.

Tanzania imejaa mende watupu. Hao mbwa wote wanaobwata ni Kwa sababu ya chuki zao, maudhui hayana makando kando hata kidogo, huwezi kumshauri political scientist hata kidogo kawazidi akili mende wote wanaoropoka na mikurupuko.
 
Nina jibu. Si kweli.
Sasa unajibu wewe kwani yeye hayupo humu au ndio kujipendekeza mkuu. Hata ukijipendekeza kwake huyu Piskali ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote. Hakubaliki na chama, hakubaliki na upinzani kwa sababu ya undumilakuwili wake.

Remember ameshawahi kumchoma mwanahabari mwenzie, kaa nae mbali.
 
Yeah Nami ninapenda mtu mwenye kusimama kwenye principles zake, binafsi sio mfuasi kabisa wa Dr.Bashiru na tunatofautiana mno kiitikadi, ila kwa hili he must stand as man ili ahesabiwe
Yaani Huwa mnawashauri wenzenu wasimame kama WANAUME Ila mkiambiwa msimame nyinyi hamuwezi...NOTE
"YOU CANT FIGHT WITH THE SYSTEM"
 
Back
Top Bottom