Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

Kiukweli Bashiru hana principle zozote, ni njaa tupu. Anawezaje sasa kuwakosoa wanaomsifia Samia (Samia anaupiga mwingi) wakati jana alikuwa ni kwaya master wa kumsifia Magufuli (Magu ndio kila kitu)?
 
ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote.
Moja ya signature yangu inaenda kwa maneno ya "kada wa mtu ni chawa na kada wa Chama ni mwanachama anayefuta malengo ya chama".

Mimi ni kada wa Tanzania moja. Yaani Mimi ni kada wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Nimemaliza
 
Ana "principle" gani huyu ndie alienajisi demokrasia 2020.
Aheshimike kwa lipi kwa kukosa ugali?
Ataheshimika mtu ambaye dunia inajua alikuwa "mastermind" wa kupora kura za wapinzani 2020 chini ya hayati.
Heshima haina mabavu heshima ni matendo mema kuwatendea wengine.
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.

Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.

Paskali

Family to feed not community to impress - Lijualikali
 
Sasa unajibu wewe kwani yeye hayupo humu au ndio kujipendekeza mkuu. Hata ukijipendekeza kwake huyu Piskali ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote. Hakubaliki na chama, hakubaliki na upinzani kwa sababu ya undumilakuwili wake.

Remember ameshawahi kumchoma mwanahabari mwenzie, kaa nae mbali.
Hata mhusika mwenyewe anaafiki!
 
Nikuondoe shaka, he is not a man of principles. Ni mganga njaa.
Angekua man of principles asingekubali maonevu ya mwenda zake. Pia kusingekuwa na harakati za kumsifia Mwendazake kiasi kile.

Ongezea na hili,Alisinamimi Mabadiliko ya Katiba lakini wakati wa Mwendazake ni yeye alipinga Katiba Mpya.Hana u principle wowote,Kinyongo tu kina mtesa
 
Kiukweli Bashiru hana principle zozote, ni njaa tupu. Anawezaje sasa kuwakosoa wanaomsifia Samia (Samia anaupiga mwingi) wakati jana alikuwa ni kwaya master wa kumsifia Magufuli (Magu ndio kila kitu)?

Jibu ni simple tu....anasifia anachokiamini...
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.

Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.

Paskali
Muache ashupaze shingo, wahenga walishasema itavunjika
 
Back
Top Bottom