Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

Brother Pascal usishinikize Kwa sababu .......wewe ulitoswa ubunge WA east Africa ......muonee huruma huyo maana sidhani kama anakosa wajukuuu.........atakosa Pa kwenda huyo ......si unajua alikunywa supu ya miguu ya kuku SASA ni kuchakula chakula mwambie akalibie CHAUMA
 
Umenena vyema. Watu wengi wanamsupport Bashiru.
 
Sitegemei Bashiru afanye huo ujinga alioufanya Ndugai, kama akifanya hivyo atakuwa mtu wa ajabu zaidi asiyejifunza kwa lolote, hizi kelele kwa namna moja au nyingine naamini lazima alizi anticipate hivyo sioni kama zitamsumbua kwa vyovyote.
 
Kazungumza kweli.Mlala hoi ndio mwajiri wa serikali kupitia kura zake.Hapa kwetu mlala hoi hana sauti na kura zake zinachakachuliwa.

Simpendi Bashiru ila kasema kweli.
 
Kashaitwa kaka yake Kiroboto kawekeka na picha ya kiroboto, hujaona post?
 
Na ndivyo alivyo I guess. Few words. Lakini amesikika. Hizi siasa zetu za sasa zina shida gani na kukosoana au kuonyana? Mpaka wote tutumbukie shimoni?
 
Kaka Tanzania Ina wapumbavu wengi mno, hawa mende wote walikuwa nakinyongo na hamu na bashiru nae kawapa walichotaka, tena ambacho hakina direct interpretation na uzuzu wao, kuna multiple dimensions za tafsiri ya maudhui yake.

Tanzania imejaa mende watupu. Hao mbwa wote wanaobwata ni Kwa sababu ya chuki zao, maudhui hayana makando kando hata kidogo, huwezi kumshauri political scientist hata kidogo kawazidi akili mende wote wanaoropoka na mikurupuko.
 
Nina jibu. Si kweli.
Sasa unajibu wewe kwani yeye hayupo humu au ndio kujipendekeza mkuu. Hata ukijipendekeza kwake huyu Piskali ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote. Hakubaliki na chama, hakubaliki na upinzani kwa sababu ya undumilakuwili wake.


Remember ameshawahi kumchoma mwanahabari mwenzie, kaa nae mbali.
 
Yeah Nami ninapenda mtu mwenye kusimama kwenye principles zake, binafsi sio mfuasi kabisa wa Dr.Bashiru na tunatofautiana mno kiitikadi, ila kwa hili he must stand as man ili ahesabiwe
Yaani Huwa mnawashauri wenzenu wasimame kama WANAUME Ila mkiambiwa msimame nyinyi hamuwezi...NOTE
"YOU CANT FIGHT WITH THE SYSTEM"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…