Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Moja ya signature yangu inaenda kwa maneno ya "kada wa mtu ni chawa na kada wa Chama ni mwanachama anayefuta malengo ya chama".ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote.
Umeongea ukweli kabisa, yeye piskali kimemshinda nini mpaka akapigwa ganzi ya kujitetea eti leo anampigia debe mwenzie akomae. Huyu jamaa mnafiki sana.Yaani Huwa mnawashauri wenzenu wasimame kama WANAUME Ila mkiambiwa msimame nyinyi hamuwezi...NOTE
"YOU CANT FIGHT WITH THE SYSTEM"
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.
Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.
Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.
Paskali
Msichana kutoka Iran 🇮🇷, ame shake Iranian system!!!,wewe endeleza uoga wa kizuzuYaani Huwa mnawashauri wenzenu wasimame kama WANAUME Ila mkiambiwa msimame nyinyi hamuwezi...NOTE
"YOU CANT FIGHT WITH THE SYSTEM"
Na marehemu mh Jaji Rukakingila(samahani speling) RIPMtu mwenye principle ni Professor Asad pekee
Mkuu wale wa mama wa irani ni specie ingine wale sio waarab yaani wale kwenye vita wanakuwa frontline.Msichana kutoka Iran 🇮🇷, ame shake Iranian system!!!,wewe endeleza uoga wa kizuzu
Na mazuzu wa hapa ,naona wako busy humu kulalama, mara maji, umeme,ajira na sasa kwa Dr.Bashiru!!Mkuu wale wa mama wa irani ni specie ingine wale sio waarab yaani wale kwenye vita wanakuwa frontline.
Loh! Hata Yohana Mbatizaji hajui kosa alilofanya mtuhumiwa? Sasa sisi wengine ndo kabisa tumepita kapa.Lakini kafanya kosa gani?
Hata mhusika mwenyewe anaafiki!Sasa unajibu wewe kwani yeye hayupo humu au ndio kujipendekeza mkuu. Hata ukijipendekeza kwake huyu Piskali ameshakuwa useless hawezi kukusaidia lolote. Hakubaliki na chama, hakubaliki na upinzani kwa sababu ya undumilakuwili wake.
Remember ameshawahi kumchoma mwanahabari mwenzie, kaa nae mbali.
Anaafiki nini sasa, lete ushahidi.Hata mhusika mwenyewe anaafiki!
Nikuondoe shaka, he is not a man of principles. Ni mganga njaa.
Angekua man of principles asingekubali maonevu ya mwenda zake. Pia kusingekuwa na harakati za kumsifia Mwendazake kiasi kile.
Kiukweli Bashiru hana principle zozote, ni njaa tupu. Anawezaje sasa kuwakosoa wanaomsifia Samia (Samia anaupiga mwingi) wakati jana alikuwa ni kwaya master wa kumsifia Magufuli (Magu ndio kila kitu)?
Muache ashupaze shingo, wahenga walishasema itavunjikaWananodi,