Dr. Biteko anastahili kupewa nafasi yakuongoza nchi; ana hofu ya Mungu na anaheshimu mawazo, utu na maoni ya wasiompenda na wanaompenda

Ana hofu ya Mungu imekuwa kichaka cha kujificha hiyo siyo sifa
 
Biteko ni Kiongozi mzuri mnyonge mnyongeni.
 
Comments reserved
 
Tuwe na Rais Mnyarwanda?

Kweli TISS walazimishe Katiba mpya haraka sana!
 
Wananchi tunamwamini Mungu hivyo tunahitaji kiongozi wa imani yetu.

Katafute nchi yako isiyoamini katika Mungu.

In GOD WE TRUST
Tangu uhuru kwa miaka 60 mmekuwa mnaongozwa na viongozi wa imani zenu, hawakosi kanisani au msikitini lakini kiko wapi ?
 
Mwenyenzi Mungu amekataza kuua, hawa watu wawili wanaweza kupambana na mauaji ya watu wanaodai haki
Ambao wamekuwa wanaua na wanaoua watu wanaodai haki sasa hivi ni wapagani?? Sio watu wanaohudhuria makanisani na misikitini??
 
Nchi hii tunaupumbavu sana , hivi mnafikili Urais ni jambo jepesi kiasi hichi , kamtembelee D.c wa kimataifa alafu uje tena andika
 
Naona watusi mmeanza kusongesha Ajenda
 
Unachekesha dogo, mtu mwenye hofu ya mungu ana PhD ya magumashi
Alafu Yuko kwenye cha ambacho amezingukwa na majangili
 
Siyo kwa unaya lakini kurudisha kijiti kanda ya ziwa (ziwa victoria) ni kuturudisha tulipo kuwa tunalima kwa meno 🙌
 
Kwa hiyo mtu yoyote mwenye hofu ya Mungu na kusikiliza mawazo ya watu apewe nchi? Mbona hao watu wako wengi?
Kuongoza nchi ni zaidi ya hivyo kaka
 
Wananchi tunamwamini Mungu hivyo tunahitaji kiongozi wa imani yetu.

Katafute nchi yako isiyoamini katika Mungu.

In GOD WE TRUST
Ni Mungu yupi mnayemwamini?
Katiba inamtaja Mungu yupi. Maana Mungu wa Samia sio Mungu wa John.
 
Huyu Mnyarwanda?
 
Huu Urais wa Tanzania mnauchukulia poa sana, basi tumpe Kingwendu kabisa maana imeshakuwa ujinga sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…