Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comments reservedKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Tuwe na Rais Mnyarwanda?Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Inawezekana hajui kwamba wanasiasa huarisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data ama katumwa kumvunjia barafu kwa wadauHuwajui wanasiasa wewe .....umeandika ujinga mtupu humjui biteko weye.ia
ngoja 2025 ndio utajua hawakwepeki. Itabidi uhamie burundi.Sukuma Gang wakae mbali na Neno Urais. HATUWATAKI HATUWATAKI TUMEWAKATAA
Tangu uhuru kwa miaka 60 mmekuwa mnaongozwa na viongozi wa imani zenu, hawakosi kanisani au msikitini lakini kiko wapi ?Wananchi tunamwamini Mungu hivyo tunahitaji kiongozi wa imani yetu.
Katafute nchi yako isiyoamini katika Mungu.
In GOD WE TRUST
Ambao wamekuwa wanaua na wanaoua watu wanaodai haki sasa hivi ni wapagani?? Sio watu wanaohudhuria makanisani na misikitini??Mwenyenzi Mungu amekataza kuua, hawa watu wawili wanaweza kupambana na mauaji ya watu wanaodai haki
Nchi hii tunaupumbavu sana , hivi mnafikili Urais ni jambo jepesi kiasi hichi , kamtembelee D.c wa kimataifa alafu uje tena andikaKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Naona watusi mmeanza kusongesha AjendaKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Unachekesha dogo, mtu mwenye hofu ya mungu ana PhD ya magumashiKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Siyo kwa unaya lakini kurudisha kijiti kanda ya ziwa (ziwa victoria) ni kuturudisha tulipo kuwa tunalima kwa meno 🙌Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Kwa hiyo mtu yoyote mwenye hofu ya Mungu na kusikiliza mawazo ya watu apewe nchi? Mbona hao watu wako wengi?Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Ni Mungu yupi mnayemwamini?Wananchi tunamwamini Mungu hivyo tunahitaji kiongozi wa imani yetu.
Katafute nchi yako isiyoamini katika Mungu.
In GOD WE TRUST
Huyu Mnyarwanda?Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa