BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe.
Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa vita ili wawe watulivu hata wasiulize yale ya msingi kwa faida yao.
Wakati watawala wanahubiri amani huwaezi hata siku moja kuwasikia wakiwa kwemye makongamano ya amani wanazungumzia mambo kama vile;
1. Raia wanao shinda njaa katika taifa la amani tele, bora kushinda njaa Congo.
2.Rushwa za pesa za umma, hili haliwezi gusiwa na wahubiri amani.Full rushwa kwenye taifa la amani.
3. Tatizo la ajira, hii wahubiri amani hutawasikia wanatia neno hapa.Vijana hawana ajira kwenye taifa la amani.
4. Upendeleo kwenye maswala kama ajira, hapa nako hutawasikia kabisa.
5.Matumizi mabaya ya Madaraka,kubambikia raia kesi, utekaji na kadhalika hapa hutawasikia kamwe.
6. Matumizi mabaya ya pesa za umma, matumizi ya anasa.
7. Mambo kama Kodi, tozo mazingira magumu hata ya wasio na kazi kujiajiri wenyewe, hutasikia wahubiri amani wanagusia.
8. Maswala kama Huda za afya, gharama kubwa za huduma za afya, watu wengi wanafariki kwa kukosa huduma za afya. Huwezi wasikia wahubiri amani wanazungumzia haya.