Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Ninyi wanaume huwa mnachelewa kwenye mambo mengi sana, Sisi Feminists (not equalists) Tumeanza kuikataa dhana ya ndoa muda mrefu sana kabla yenu. Kwenye masomo yetu kuna "labelled "institution mbili ambazo zinatumika kwa kiasi kikubwa kumkandamiza mwanamke nazo ni 1. Dini 2. Ndoa.

Kila movement ina "tapo" zake: As long as watu wataendelea kupendana na kuhitaji kuishi pamoja SIO jambo rahisi kuiteketeza institution ya ndoa sababu ni hitaji binafsi. Mahitaji binafsi ni yale ambayo huwezi kuwainfluence watu wote wakubaliane na mtazamo wenye mlengo mmoja: Ndipo; tukaja na ideology ya kuwepo kwa ndoa inayoendana na mahitaji na mazingira ya usasa, Si hivyo tu tukaomba sheria zirahisishe mchakato wa talaka kwa watakao shindwana basi isiwe ngumu kuseparate wakati huo huo kulinda haki za yule ambaye si superior.

However, katika kila movement kuna maslahi binafsi na uelewa binafsi, ndipo mivutano inapotokea; one needs to understand unapokuwa feminist ni majukumu gani unatakiwa kuyabeba, na ni yapi hutakiwi kuyabeba ikiwa umekubali kuolewa. Naturally, mwanadamu ni mnyama huru/mnyama wa mabadiliko ndio maana kitu chochote chenye harufu ya utumwa kitakosa uungwaji mkono siku za usoni.

At all kama jamii hatupo pabaya, imebaki uelewa wa mtu mmoja mmoja na kuyaishi anayoyahubiri. Kwa kumaliza, ndoa ni hitaji binafsi sio lazima na ndio maana gerezani hakuna aliyefungwa kwa kutokuoa/kuolewa.

Binafsi napenda mapenzi, napenda companionship, nampenda pia mahi wangu, kwahiyo hitaji lakuwa naye ni priority, na tunaijenga taasisi yetu kuweza kuaccomodate mahitaji yetu binafsi.
 
Huu mjadala utakuwa hauna maana bila uwepo wa Rais wa Kataa ndoa.

Cc: Liverpool VPN
""Mwisho kabisa kuna kitu kinachanganywa hapa, watu hawakatai kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali wanakataa ndoa. Ambayo ni mfumo wa kisheria wa kumkandamiza mwanaume dhidi ya mwanamke anayeishi naye kingono.""

Mwamba mtoa hoja Mgeni wa Jiji ametisha sanaa.
Sina cha kuongeza

SIFA ZIENDE KWAKE.

#YNWA
 
Ni hisia tuu...

#YNWA
 
Kwani siku hizi wanawake wanafanya hata hizo kazi kama sehemu ya wajibu wao basi?!!! Mmmh! Wanataka ama wanalazimisha wanaume wawasaidie kazi za nyumbani, mambo yakiwa mengi wanaomba kuletewa msaidizi wa kazi za nyumbani.... Maisha ya ndoa nowadays ni tafrani tupu
 
Sikupingi mwamba. End of story
 
Aisee kumbe kuna ke mnatumia hizo chogo zenu vizuri kabisa.
Kuna mmoja nlikua natarajia awe mke ila amenidisappoint kwa majibu yake.
Yeye anachoamini ni kua mwanaume ndo anatakiwa kuprovide no matter what, hata yeye akiwa na kibunda na Me ukawa huna kitu, basi atakusubiri wewe Me uinuke uendelee kuprovide, nenda kafanye kibarua chochote yeye na wanae wale 😂😂.
 
You speak well on issue of financially for men it hard to marry if he can not have source of income.In my side there so many factors hinder married for men include the big of financially.
 
Kimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…