cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ikiwa na maana ni hiyari?Ndoa siyo lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa na maana ni hiyari?Ndoa siyo lazima.
. Naam, sijaona faida ya kukaa na mtu kwa mda mrefu....Kuna group nipo la watu magharibi linaitwa ndoa za mkataba, je unadhani Tanzania tulete hii sheria?
""Mwisho kabisa kuna kitu kinachanganywa hapa, watu hawakatai kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali wanakataa ndoa. Ambayo ni mfumo wa kisheria wa kumkandamiza mwanaume dhidi ya mwanamke anayeishi naye kingono.""
Chukua Hanson's kubwa hapo halafu bill apelekewe dronedrake. Kuhusu ndoa, hata mnengeandika vitabu billion 9000, lakini ndoa itabaki kuitwa kifungo Cha mateso.
. Waliofaidika na ndoa ni wazee wa zamani ila siyo Sasa. Na ndomaana kesi za kubambikiana watoto miaka ya hivi karibibuni zinazidi kushamiri.
Ndo maana ake.Umemaliza
#YNWA
Zishaanza Mbona nenda zenji huko ujionee,vikwonge vya kizungu vinatoka ulaya huko kuja kuoa kwa mkataba bongoKuna group nipo la watu magharibi linaitwa ndoa za mkataba, je unadhani Tanzania tulete hii sheria?
Ni hisia tuu...Endeleeni tu na hashtag zenu mwisho wa siku msijelalama hapa na watoto wenu wakiwa wa hovyo kwasababu ya kulelewa upande mmoja,wakati wasukuma na wapemba wakiijaza bongo nakuwa na stable family na malezi mazuri ya watoto wao ,,,ilianza Marekani,Europe,South Africa sasa Africa yote smh wazungu na wamarekani weusi wenyewe wanatoka kwao kuja huku kutafuta wake kwao hakufai,,,nyie huku mnatembeza hashtag niulize wazazi wako wasingekua pamoja ungekua wapi sasa!
Kwani siku hizi wanawake wanafanya hata hizo kazi kama sehemu ya wajibu wao basi?!!! Mmmh! Wanataka ama wanalazimisha wanaume wawasaidie kazi za nyumbani, mambo yakiwa mengi wanaomba kuletewa msaidizi wa kazi za nyumbani.... Maisha ya ndoa nowadays ni tafrani tupuAnd women provide act of services all the time, washing, arranging, cooking, cleaning what so ever the domestic chores you name it... and what token of appreciation can you provide?
the problem is you compare so much with providing(money) to act of service done women (domestic chores) rather than mutual understanding and believing on what each of contribute and how it matters to the growth of health relationship.
Waongeze hata vitabu 600 vingine. Kuhusu ndoa, hata mnengeandika vitabu billion 9000, lakini ndoa itabaki kuitwa kifungo Cha mateso.
. Waliofaidika na ndoa ni wazee wa zamani ila siyo Sasa. Na ndomaana kesi za kubambikiana watoto miaka ya hivi karibibuni zinazidi kushamiri.
Kabisaa kabisaa""Ndoa SIO LAZIMA full stop!! ""
#YNWA
Sikupingi mwamba. End of storyMwanamke/mwanaume amemalala na wanawake/wànaume zaidi ya 30 Kwenye mihangaiko yake, Alafu wewe wa 31 ndo unataka kufunga Naye ndoa...
( Unajikorogea sumu mwenyewe) [emoji855][emoji855][emoji855]
. Kwa Sasa haina haja ya kuoa, hasa pale Kama siyo bikra.
. Fuata step hizi
1. Tafuta mchumba
2. Zaa Naye
3. Kapime mtoto/watoto DNA
4. Anza kulea mtoto/watoto
5. Endelea kutafuta tela
6. Subiri kuzeeka Kisha kufa, story inaishia hapo.
Lakini kukulana ni muhimu sana.Kabisaa kabisaa
Aisee kumbe kuna ke mnatumia hizo chogo zenu vizuri kabisa.I'm personally all for people making their own decision based on what they believe, their desires, needs, and willingness to commit when it comes to marriage.
Ndoa should be the highest level of commitment towards one another, and therefore should not be taken lightly. Ila in recent years, watu wamekua wakiitumia kama kichaka chakupata mahitaji yao huku wakiendelea kuishi maisha mengine pembeni ambayo haya-align hata kidogo na concept nzima ya ndoa. The whole idea of loving eachother wholly and being there for better or worse doesn't apply to them.
As much as I hate yo admit this, baadhi yetu wanawake tunakimbilia ndoani tukiwa hatuko tayari ku-contribute chochote cha maana. Not financially japo tunaweza kuwa na kipato kizuri tu, not emotionally, not intellectually, not practically maana hata malezi ya watoto siku hizi ni jukumu la wadada, sometimes not even sexually. Na sio kama hatuwezi, ila hatutaki/hatuko tayari.
Huwa nikiona kina Mzee wa kupambania na genge lake wakiuliza wanawake wana nini chaku-offer zaidi ya sex kwenye mahusiano/ndoa nakasirika sana, hata kama vitu vingine walivyoongea ni point 💯 siwapi #LIKE 🥴 Nikijifikiria mimi na baadhi ya watu nnaowajua najisemea, "What a stupid question?" But, when I set aside my emotions and consider our society as a whole, I come to terms with the fact that it's a very valid question. Tukubali au tukatae, ukweli ni kwamba some of us are extremely self-centered.
Huko kwenye sheria ya kugawana mali mi sitaki kwenda, but perhaps it's time to review the entire legal framework surrounding marriage kwa faida ya wote...?🤔
Anyways, pamoja na yote hayo, ijulikane kwamba I HATE hii movement ya #KATAA NDOA
Sababu inayonifanya niichukie ni kwasababu baadhi ya vijana ni conformists. Hawahitaji kuelewa exactly what's being discussed, the magnitude of this current trend wala nini...watafuata tu mkumbo because, well...it's a new trend. Binafsi naamini wanahitaji kujitafuta na kujitambua bila kuwa influenced na hizi campaign. Ikifika mahali baadhi yao wakaamua kweli hawataki ndoa, basi iwe kwasababu zao binafsi na sio influence of others.
You speak well on issue of financially for men it hard to marry if he can not have source of income.In my side there so many factors hinder married for men include the big of financially.the question of what you bring on the table for both men and women has brought fear of commitment hence people really don't want to get married but just wanna mingle around. This is why mostly people have multi lovers and the issue keeps on getting worse... not having a stable job or source of income can also be another case too, some men I know don't want to even be in a relationship with the idea of they can't really satisfy their partner's needs, so how a person like this get married and be there to contribute in providing for the new family?
KimbiaAisee kumbe kuna ke mnatumia hizo chogo zenu vizuri kabisa.
Kuna mmoja nlikua natarajia awe mke ila amenidisappoint kwa majibu yake.
Yeye anachoamini ni kua mwanaume ndo anatakiwa kuprovide no matter what, hata yeye akiwa na kibunda na Me ukawa huna kitu, basi atakusubiri wewe Me uinuke uendelee kuprovide, nenda kafanye kibarua chochote yeye na wanae wale 😂😂.