Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Nilitaka niishie hapo aliposema kuishi na mwanamke siku 90 kisheria ni ndoa ila nkasema ngoja niendelee kumsoma.

Sijui ni nani.aliwaambia watu na kuwadanganya kuwa ukiishi na mwanamke miezi mitatu eti ni mkeo kisheria na kuna wanaosema mara miezi sita.

Sheria ya ndoa inatambua uwepo.wa Dhana ya ndoa kwa watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na sio miezi mitatu au sita na sio uwepo wa ndoa kati yao. Kifungu cha 160 cha Sheria ya ndoa, 1971.

Na hiyo dhana ya ndoa inaweza ikafutika na isiwepo hata kama mmeishi miaka 20 pamoja. Hiyo miaka miwili sio tiketi wala sio automatic ilo kazi yakufanya na anayesema uwepo wa hiyo dhana ni Mahakama na sio mtu wala taasisi nyingine yoyote.

Na hiyo dhana ya ndoa sio ndoa sababu huwa inatolewa wakati ambao hao watu hawaishi pamoja tena yaani hiyo ni njia ya kutafuta talaka kwa wahuni walioishi pamoja wakifanya ngono.

Mwisho kabisa kuna kitu kinachanganywa hapa, watu hawakatai kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali wanakataa ndoa. Ambayo ni mfumo wa kisheria wa kumkandamiza mwanaume dhidi ya mwanamke anayeishi naye kingono.

TUNAKATAA NDOA SABABU NI MFUMO RASMI WA KUMTAWALA MWANAUME NA ITAMBULIKE HATUKATAI MAHUSIANO YA KINGONO KATI YA JINSIA TOFAUTI.

MSITUTOE MCHEZONI
 
Na ukweli ni nini? so hutataka kuishi na mwenza, kwasababu hata sheria inafahamu in 3 montrhs hio ndoa hayo mengine utajua mwenyewe
Sheria ipi hiyo inasema mkiishi miezi mitatu pamoja hiyo ni ndoa? Kifungu cha 160 cha sheria.ya ndoa hakisemi hivyo. Dr. Mauki kadanganya umma wazi wazi au tuseme hajui alichokiongea juu dhana ya ndoa kisheria.
 
Endeleeni tu na hashtag zenu mwisho wa siku msijelalama hapa na watoto wenu wakiwa wa hovyo kwasababu ya kulelewa upande mmoja,wakati wasukuma na wapemba wakiijaza bongo nakuwa na stable family na malezi mazuri ya watoto wao ,,,ilianza Marekani,Europe,South Africa sasa Africa yote smh wazungu na wamarekani weusi wenyewe wanatoka kwao kuja huku kutafuta wake kwao hakufai,,,nyie huku mnatembeza hashtag niulize wazazi wako wasingekua pamoja ungekua wapi sasa!
 
Enhe Sheria inasema nini?
Sheria inasema mkiishi pamoja miaka miwili au zaidi kama wapenzi kunajengeka DHANA YA NDOA kati yenu. Na sio kuwa mnakuwa na ndoa. Na hiyo dhana ya ndoa inaweza ikafutika/kupingwa.

Hicho ni kifungu cha 160 cha sheria ya ndoa.

Sasa ni wakati gani kinatumika hicho kifungu, hilo ni swali lingine muhimu sana kujua.

Kwa ujumla hiyo dhana ya ndoa inatumika baada ya mahusiano hayo kuvunjika, hivyo hakuna ndoa au dhana ya ndoa kwa watu ambao hawajaoana rasmi na kusajiliwa kwenye orodha ya wanandoa.

Sijui kama utakuwa umenielewa Mkuu Shining Light hiyo dhana ina upotoshaji mwingi sana huku mtaani. Sheria ipo serious sana kwenye mambo ya ndoa tofauti na vile watu wanafikiria.
 
Thank you, nimeelewa
 
. Kuhusu ndoa, hata mnengeandika vitabu billion 9000, lakini ndoa itabaki kuitwa kifungo Cha mateso.

. Waliofaidika na ndoa ni wazee wa zamani ila siyo Sasa. Na ndomaana kesi za kubambikiana watoto miaka ya hivi karibibuni zinazidi kushamiri.
Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiana wenza, sasa mambo yamebadilika. ndoa sio kifungo cha Mateso, uvumilivu hamna, mategemeo ni makubwa mno, taama na vitu kibao
 
Mfikishieni ujumbe Mauki kwamba tunashukuru kwa maelezo yake lakini katu hatutaacha kusema ukweli kwamba NDOA ni kifungo na utumwa kwa binadamu hasa mwanaume. Kuna namna mtu anahitaji kufurahia maisha kwa namna fulani lakini anashindwa eti kisa NDOA non sense!!
NDOA NI UTAPELI NA ULAGHAI
KATAA NDOA
 
Nilitaka niishie hapo aliposema kuishi na mwanamke siku 90 kisheria ni ndoa ila nkasema ngoja niendelee kumsoma.

Sijui ni nani.aliwaambia watu na kuwadanganya kuwa ukiishi na mwanamke miezi mitatu eti ni mkeo kisheria na kuna wanaosema mara miezi sita.

Sheria ya ndoa inatambua uwepo.wa Dhana ya ndoa kwa watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na sio miezi mitatu au sita na sio uwepo wa ndoa kati yao. Kifungu cha 160 cha Sheria ya ndoa, 1971.

Na hiyo dhana ya ndoa inaweza ikafutika na isiwepo hata kama mmeishi miaka 20 pamoja. Hiyo miaka miwili sio tiketi wala sio automatic ilo kazi yakufanya na anayesema uwepo wa hiyo dhana ni Mahakama na sio mtu wala taasisi nyingine yoyote.

Na hiyo dhana ya ndoa sio ndoa sababu huwa inatolewa wakati ambao hao watu hawaishi pamoja tena yaani hiyo ni njia ya kutafuta talaka kwa wahuni walioishi pamoja wakifanya ngono.

Mwisho kabisa kuna kitu kinachanganywa hapa, watu hawakatai kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali wanakataa ndoa. Ambayo ni mfumo wa kisheria wa kumkandamiza mwanaume dhidi ya mwanamke anayeishi naye kingono.

TUNAKATAA NDOA SABABU NI MFUMO RASMI WA KUMTAWALA MWANAUME NA ITAMBULIKE HATUKATAI MAHUSIANO YA KINGONO KATI YA JINSIA TOFAUTI.

MSITUTOE MCHEZONI
NAKAZIA
 
Ndoa itaendelea vipi kutumika kuhalarisha mahusiano ya kimapenzi hili hali sheria iliyoianzisha hapa Tz haifai kwa sasa?

Sahivi kuna tofauti gani kati ya mtu me na ke katika ulimwengu huu wa usawa?

Kwanini hakuna huo usawa kwenye ndoa? Tena kila utajwapo hauna maana ya usawa bali upendeleo kwa mwanamke?

Hitimisho: ndoa zitaeleweka tukibadili sheria zetu za ndoa ziendane na maisha ya wakati wetu.
Usawa upi unaongelea mkuu? mbona kama mimi sijaelewa?
 
I'm personally all for people making their own decision based on what they believe, their desires, needs, and willingness to commit when it comes to marriage.

Ndoa should be the highest level of commitment towards one another, and therefore should not be taken lightly. Ila in recent years, watu wamekua wakiitumia kama kichaka chakupata mahitaji yao huku wakiendelea kuishi maisha mengine pembeni ambayo haya-align hata kidogo na concept nzima ya ndoa. The whole idea of loving eachother wholly and being there for better or worse doesn't apply to them.

As much as I hate yo admit this, baadhi yetu wanawake tunakimbilia ndoani tukiwa hatuko tayari ku-contribute chochote cha maana. Not financially japo tunaweza kuwa na kipato kizuri tu, not emotionally, not intellectually, not practically maana hata malezi ya watoto siku hizi ni jukumu la wadada, sometimes not even sexually. Na sio kama hatuwezi, ila hatutaki/hatuko tayari.

Huwa nikiona kina Mzee wa kupambania na genge lake wakiuliza wanawake wana nini chaku-offer zaidi ya sex kwenye mahusiano/ndoa nakasirika sana, hata kama vitu vingine walivyoongea ni point 💯 siwapi #LIKE 🥴 Nikijifikiria mimi na baadhi ya watu nnaowajua najisemea, "What a stupid question?" But, when I set aside my emotions and consider our society as a whole, I come to terms with the fact that it's a very valid question. Tukubali au tukatae, ukweli ni kwamba some of us are extremely self-centered.

Huko kwenye sheria ya kugawana mali mi sitaki kwenda, but perhaps it's time to review the entire legal framework surrounding marriage kwa faida ya wote...?🤔

Anyways, pamoja na yote hayo, ijulikane kwamba I HATE hii movement ya #KATAA NDOA

Sababu inayonifanya niichukie ni kwasababu baadhi ya vijana ni conformists. Hawahitaji kuelewa exactly what's being discussed, the magnitude of this current trend wala nini...watafuata tu mkumbo because, well...it's a new trend. Binafsi naamini wanahitaji kujitafuta na kujitambua bila kuwa influenced na hizi campaign. Ikifika mahali baadhi yao wakaamua kweli hawataki ndoa, basi iwe kwasababu zao binafsi na sio influence of others.
 
As much as I hate yo admit this, baadhi yetu wanawake tunakimbilia ndoani tukiwa hatuko tayari ku-contribute chochote cha maana. Not financially japo tunaweza kuwa na kipato kizuri tu, not emotionally, not intellectually, not practically maana hata malezi ya watoto siku hizi ni jukumu la wadada, sometimes not even sexually. Na sio kama hatuwezi, ila hatutaki/hatuko tayari.

Excuse me miss, act of service can be really major way of contribution, the little things matter as well. But I will agree you on matter of commitment, it has been actually something really tough for most people nowadays because of level standard of lives has been high.
 
I don't disagree with you one bit.

The problem is...some don't even bring that to the table. Unless ordering the dada around counts...?😶‍🌫️
 
Wazee wa zamani walikuwa wanatafutiana wenza, sasa mambo yamebadilika. ndoa sio kifungo cha Mateso, uvumilivu hamna, mategemeo ni makubwa mno, taama na vitu kibao
Mwanamke/mwanaume amemalala na wanawake/wànaume zaidi ya 30 Kwenye mihangaiko yake, Alafu wewe wa 31 ndo unataka kufunga Naye ndoa...
( Unajikorogea sumu mwenyewe) 🤒🤒🤒

. Kwa Sasa haina haja ya kuoa, hasa pale Kama siyo bikra.

. Fuata step hizi
1. Tafuta mchumba
2. Zaa Naye
3. Kapime mtoto/watoto DNA
4. Anza kulea mtoto/watoto
5. Endelea kutafuta tela
6. Subiri kuzeeka Kisha kufa, story inaishia hapo.
 
Human are live in nature...Kweli now mjadala wa ndoa unakua kwa kasi hasa hichi kipindi.
Sasa mimi ntajikita katika kuonesha madhara ya kupinga ndoa by Nature.Kisha utapima faida za kuwa na ndoa na faida za kutokuwa na Ndoa.

1. Kutapotea uhalisia wa kuwepo BABA na MAMA.Baada ya vijana kukataa ndoa hakika kutakuwa kumepungua baba na mama kwa maana wengi tutakuwa tuna ishi wenyewe na mtoto akiwepo atakuwa na mama bila baba au baba bila baba Hivyo mmoja wapo hatokuwepo.

2.Kundi la Mashoga litaongezeka kwa kasi kwani wanaume wengi watakuwa wamekwepa majukumu yao na kusahau uhalisia wake kama mwanaume.Nawale watoto wa kiume watakuwa wanaishi na mama zao kwa kipindi kingi na kupelekea kukosekana na Misingi ya kiume kutoka kwa baba baada ya kukataa Ndoa na mtoto kulelewa na malezi ya kike pekee kutoka kwa Mama yake.

3.Jamii kukosa madili kwa maana kila mtu atakuwa huru juu ya maisha yake tukuamini huu ndio utandawazi.

4.Mwanaume kukosa furaha hasa unapo kuwa na mwenza wako ambae umetafuta nae maisha kwa Kitambo

4.Kuibuka matukio mengi ya ubakaji na udhalilishaji.

Kwahizo hasara hapo juu jaribu kupima faida yake alafu uwangalie wapi pameelemea.
MISINGI YA NDOA NA UZURI WAKE HAUWEZI KUUTAZAMA KWA URAHISI UKIWA NA AKILI FUPI
NDOA NI MUHIMU KWA MUSTKHABALI MZURI WA MAISHA YAKO NA KIZAZI CHAKO
 
Mwanamke/mwanaume amemalala na wanawake/wànaume zaidi ya 30 Kwenye mihangaiko yake, Alafu wewe wa 31 ndo unataka kufunga Naye ndoa...
( Unajikorogea sumu mwenyewe) 🤒🤒🤒

. Kwa Sasa haina haja ya kuoa, hasa pale Kama siyo bikra.

. Fuata step hizi
1. Tafuta mchumba
2. Zaa Naye
3. Kapime mtoto/watoto DNA
4. Anza kulea mtoto/watoto
5. Endelea kutafuta tela
6. Subiri kuzeeka Kisha kufa, story inaishia hapo.
Kuna group nipo la watu magharibi linaitwa ndoa za mkataba, je unadhani Tanzania tulete hii sheria?
 
Back
Top Bottom