Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Nilitaka niishie hapo aliposema kuishi na mwanamke siku 90 kisheria ni ndoa ila nkasema ngoja niendelee kumsoma.
Sijui ni nani.aliwaambia watu na kuwadanganya kuwa ukiishi na mwanamke miezi mitatu eti ni mkeo kisheria na kuna wanaosema mara miezi sita.
Sheria ya ndoa inatambua uwepo.wa Dhana ya ndoa kwa watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na sio miezi mitatu au sita na sio uwepo wa ndoa kati yao. Kifungu cha 160 cha Sheria ya ndoa, 1971.
Na hiyo dhana ya ndoa inaweza ikafutika na isiwepo hata kama mmeishi miaka 20 pamoja. Hiyo miaka miwili sio tiketi wala sio automatic ilo kazi yakufanya na anayesema uwepo wa hiyo dhana ni Mahakama na sio mtu wala taasisi nyingine yoyote.
Na hiyo dhana ya ndoa sio ndoa sababu huwa inatolewa wakati ambao hao watu hawaishi pamoja tena yaani hiyo ni njia ya kutafuta talaka kwa wahuni walioishi pamoja wakifanya ngono.
Mwisho kabisa kuna kitu kinachanganywa hapa, watu hawakatai kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali wanakataa ndoa. Ambayo ni mfumo wa kisheria wa kumkandamiza mwanaume dhidi ya mwanamke anayeishi naye kingono.
TUNAKATAA NDOA SABABU NI MFUMO RASMI WA KUMTAWALA MWANAUME NA ITAMBULIKE HATUKATAI MAHUSIANO YA KINGONO KATI YA JINSIA TOFAUTI.
MSITUTOE MCHEZONI