Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika.
Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine.
Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo.
Huo ni ukubwa jinga!
Congo na utajiri wake, inashindwaje kutengeneza jeshi la askari 100,000 na kuwakabaili vilivyo M23?
Congo ujanja wao wote ni mayenu na kula bata tu, waache wafundishwe dunia na ka bwana mdogo Kagame.