Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
DRC Congo kutokuwa serious na kitu chochote ndiko kumewafikisha hapo.Utajiri wao wa madini, misitu, ardhi na rasilimali nyingi umegeuka laana.
Nchi ina utajiri, watu(vijana ) wapo, wanashindwa nini kuunda jeshi la watu 100,000 hadi 200,000 na mapambano yaishie Kigali?
Jamaa hawa hawajui mass warfare ambayo ina guerilla tactics.
Wenzao huku Nchi za Kusini mwa Afrika tumefuzu sana kwa aina hizi za vita.