Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hatulinganishwe na wavaa suruali tumboni DRC.Drc na tanzania hazichekani, zote mbili zina viongozi wasiojitambua na wajinga wajinga.
Wapuuzi tuuHatulinganishwe na wavaa suruali tumboni DRC.
Sisi hakuna nchi jirani inaweza kuleta za kuleta.
WaCongo wanatakiwa waifanye nchi yao itawalike.Utatengenezaje jeshi kwenye nchi isiyotawalika?
Kwenye nchi ambayo nchi zote kubwa duniani zinataka wasielewane?
WaCongo wanatakiwa waifanye nchi yao itawalike.Utatengenezaje jeshi kwenye nchi isiyotawalika?
Kwenye nchi ambayo nchi zote kubwa duniani zinataka wasielewane?
inawezekana kabisa. unakamata vibaraka wao wa ndani unawanyonga au kifungo cha maisha kutegemeana na kosa. Na kila anayeibuka unamnyonga pasipo kuruhusu mazungumzo ya aina yo yote. Na kainchi jirani unakapiga mkwara kukavamia kwa kujenga kituo kikubwa cha jeshi kilometa chache kutoka mpakani na unaweka silaha za kutisha.Utatengenezaje jeshi kwenye nchi isiyotawalika?
Kwenye nchi ambayo nchi zote kubwa duniani zinataka wasielewane?
Mkuu tatizo wenzetu hawa wanapenda raha tu.inawezekana kabisa. unakamata vibaraka wao wa ndani unawanyonga. Na kila anayeibuka unamnyonga pasipo kuruhusu mazungumzo ya aina yo yote. Na kainchi jirani unakapiga mkwara kukavamia kwa kujenga kituo kikubwa cha jeshi kilometa chache kutoka mpakani na unaweka silaha za kutisha.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini tz kuna vituo vya kijeshi songea, jkt kule mbamba bay, kaboya kagera, Monduli? na Tabora ajili ya proxies kama za rukwa na kigoma aka jkt?
Wewe kumbafu mambo yetu ya Congo π¨π© yanakuwashaje! Hawa M23 unajua wanapigania nini kenge weweNchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika.
Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine.
Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo.
Huo ni ukubwa jinga!
Congo na utajiri wake, inashindwaje kutengeneza jeshi la askari 100,000 na kuwakabaili vilivyo M23?
Congo ujanja wao wote ni mayenu na kula bata tu, waache wafundishwe dunia na ka bwana mdogo Kagame.
ni shida sana. wacongo ni wajinga na wavivu kupindukia. hata chakula wanaagiza kutoka africa ya kusini na zimbabwe. kinshasa hata nanasi zinaagizwa kutoka south...Mkuu tatizo wenzetu hawa wanapenda raha tu.
Wajinga wajinga kama wewe ndio hata kuweka point yako hujui.Wewe kumbafu mambo yetu ya Congo π¨π© yanakuwashaje! Hawa M23 unajua wanapigania nini kenge wewe
Heheee wahusika mmefikaπππWewe kumbafu mambo yetu ya Congo π¨π© yanakuwashaje! Hawa M23 unajua wanapigania nini kenge wewe
Cc kwishaNchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika.
Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine.
Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo.
Huo ni ukubwa jinga!
Congo na utajiri wake, inashindwaje kutengeneza jeshi la askari 100,000 na kuwakabaili vilivyo M23?
Congo ujanja wao wote ni mayenu na kula bata tu, waache wafundishwe dunia na ka bwana mdogo Kagame.
A selfish point of view.Sisi M23 tunapigania haki zetu Congo! Kwa mfano tena nikupe uhalisia walifanya makosa sana kutupiga 2012, tulienda Mlima ya Sabinyo Uganda Kujipa na tumerudi tena! Wewe Mtanzania embu fikiri leo eti wamasai wapigwe waondoke Tanzania si haki kabisa kwani nao wana madai na haki zao za msingi. Ona sasa ndio maana ECRAF hata walipokuwa Bunagana (The Largest Military Facility in Nord Kivu) Force Kamanda Major General Jeff Nyagah alisema hakuja Congo kutupiga ila alisema yeye alikuja for peace talk. Akafitiniwa na Serekali ya Kinshasa na Kurudi kwao.
Sasa jua yafuatayo Congo itagawanyika na kutoa nchi nyingine ya kivu(North) na makao makuu yatakuwa Goma. Na pia South kivu nayo wataanzisha nchi yao na makao makuu yatakuwa Katanga. Reference is made to Southern Sudan πΈπ©
(Jubanese)
Hamia huko Congo,Tanzania ndiyo ya hovyo sasa.toka tupate uhuru tunaongozwa na chama kimoja tena kwa kuiba kura na wtz wanaona safi tu.wacongo wanajitambua hawataki unafiki wa viongozi wezi ndiyo maana wanaamua kuwashughulikia kwa kupigana na hao wahuni .