DR Congo, kubwa jinga linalokula mayenu tu bila aibu!

Utajiri wao wa madini, misitu, ardhi na rasilimali nyingi umegeuka laana.
DRC Congo kutokuwa serious na kitu chochote ndiko kumewafikisha hapo.
Nchi ina utajiri, watu(vijana ) wapo, wanashindwa nini kuunda jeshi la watu 100,000 hadi 200,000 na mapambano yaishie Kigali?
Jamaa hawa hawajui mass warfare ambayo ina guerilla tactics.
Wenzao huku Nchi za Kusini mwa Afrika tumefuzu sana kwa aina hizi za vita.
 
Wanatia aibu sana.Yaani kwao kula mabata na kunengua ndio mwisho wa akili zao.
 
Kufanya hayo inahitaji kujitoa hasa na utashi wa kisiasa, bado hawajawa tayari kwa hilo.
 
Kufanya hayo inahitaji kujitoa hasa na utashi wa kisiasa, bado hawajawa tayari kwa hilo.
Kila siku wanalilia majeshi ya UN, mara mjeshi ya East Africa. mara majeshi ya SADCC, inatia aibu kwa kweli, nchi kubwa kulia lia!
 
Nchi yako ina tofauti gani na CONGO 🇨🇩? Au kwakua kule zinatumika siraha za moto ndo kinakufanya we uhisi kua bora ktk huu uso wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…